Picha mbili zinayofikirisha - Mikutano ya Kinana

Picha mbili zinayofikirisha - Mikutano ya Kinana

Hivi haya mambo hawajaacha tuu? Sasa tume za nini kuuliza kwa nini division zero ni za kufikia tuu? Jibu ndio hili,mchana kweupe wakati watoto wao wako shule wa wengine wanawachezesha gwaride.
Hicho kivuli kinaashiria kuwa tayari jua lipo magharibi mida ya saa tisa tisa hiv hiyo. Hii inasuggest kuwa toka asubuhi watoto wetu walikuwa wanajiandaa na kufanya rehearsal kabla mzee wa Tembo hajafika. Kwa style hiyo zero bado zinatuhusu. Maneno ya viongoz yanaonyesha wanazichukia zero ila matendo yao yanaonyesha wanazipenda kweli kweli.
 
Hawa watoto wa shule wao wanawaita chipukizi wangekuwa kwenye mkutano wa CHADEMA au CUF ungemwona Mwigulu Nchemba anavyo nyesha mvua bungeni
Nadhani kwenye katiba mpya ipo haja ya kuspecify umri wa raia kuanza kujiengage rasmi kwenye siasa. Hiyo ni kama ajira kwa watoto tu.
 
Huku ni kutamani ukuu na kupigiwa salute pasipo stahili.

Hao watoto wanapigishwa gwaride, viatu vinakwisha upande na wanaambulia ubwabwa tu.

Tshirt zimeandikwa umoja wa vijana kutuzuga, wakati hao ni watoto.

haki za katoto hazifuatwi, watetezi moo wapi?
 
Kwa kweli hii imenichosha Wakuu!
Kuona Kiongozi wa juu wa chama tawala akifanya hadharani matendo mawili yasiyoonyesha kuheshimu wananchi wazee na watoto. Sijui kama nitakuwa nimekosea kusema amewadhalilisha hao wazee kwa kuwagawia fedha hadharani huku wakipigwa picha. Hii ni fedheha kwa Chama tawala. Hivi ina maana walijua kweli kuwa picha zinapigwa pale na wakaendelea hivyo??? Hii inadhihirisha nini haswa?
 
Mm siwashangai kwa maana wanajua 2015 hawawezi kushinda uchaguzi,hivyo wanajaribu kuwanda wototo wa shule kama hazina yao ya miaka ijao, huku wakiharibu elimu ya watoto wa maskini wakati watoto wao wanaendelea kusoma tena shule nzuri. Pumbafu hawa.
 
Mimi sina maneno mengi, nataka muangalie picha hizi kisha mtakachokiona mkitafakari.

8.jpg

Kinana anawanunua wazee waliokuwa awanachama wa CHADEMA.
Weka mbali na Tembo anajua biashara sana huyu!


0

Hapa wazee wanafurahia mauzo ya kadi za CHADEMA.

Angalia nyumba kabisa ya picha hiyo......kuna nini?
CCM wameishiwa mbinu za kukifanya chama kizidi kupendwa kilichobaki ni kutumia dola na kutangaza dau, but for how long?

Kinachoonekana ni CCM wanatoa pesa kwa wananchi na wananchi hao hao wanazipeleka Chadema kuchangia M4C.
 
Nani bora huyu anaye msaidia bibi au nyie mnaochangisha wananchi kujenga nyumba binafsi?
Anamsaidia bibi? Zile pembe za ndovu huyu bibi ana haki nazo pia. Hapo hasaidiwi anachukua sehemu ndogo sana ya kilicho chake.
 
Nadhani kwenye katiba mpya ipo haja ya kuspecify umri wa raia kuanza kujiengage rasmi kwenye siasa. Hiyo ni kama ajira kwa watoto tu.

Tatizo mchakato wa katiba mpya umebakwa na maccm tutegemee katiba mbovu isiyo kuwa na tija kwa taifa
 
Birigita Mimi hii ndio imenifikirisha zaidi hivi kweli 3/4 ya mkutano ni wanafunzi ina maana wananchi wameshawaasi,hata kwenye TV ya TBC1 wameonyesha kwa kweli Kinana na NAPE wasome alama za nyakati
 
Hakuna kingine wanachoweza kufanya zaid ya hicho!tuone mwisho itakuwa vipi!!
 
Yani kwa staili hii tusahau wototo wetu kufauru mitihani yao. Yani TZ niwatu waajabu sana waziri wa elimu anakuwa nvivu kufikiria hadi anaamini kufeli kwa wanafunzi kumetokana na kufuta adhabu ya viboko? kweli tunahatari kubwa mbele ya safari VIVA CDM
 
Nani bora huyu anaye msaidia bibi au nyie mnaochangisha wananchi kujenga nyumba binafsi?

Mbona mnapenda kuwadhihaki WaTz wenzenu, hizo shilingi 2000 anazotoa kinana kwa huyo bibi ndiyo unasema msaada,
Angewasaidia kusimamia chama chake iache kuuza rasimali za taifa ili zitumike kuendeleza huduma za jamii tuongemuona wa maana.
Wabibi kama hawa wanaoendekeza njaa ndiyo wanaharibu future wa watoto na wajukuu zao kwa kuendelea kuikumbatia ccm.
 
We mpumbavu kweli unawezaje kumsaidia mtu 20000 au 30000 muelimishe namna ya kufanya kazi na kujikwamua akienda kununua ugoro au pombe itamsaidia nini,acheni kufikiri kwa kutumia umasaburi.
 
Back
Top Bottom