PAULO CHIBUGA
Member
- Apr 18, 2013
- 38
- 5
mnahangaika bure! 2015 for ccm
mpumpavu hata ukimchanganya na ngano ukamtwanga upumbavu wake hauiishi
mnahangaika bure! 2015 for ccm
We mpumbavu kweli unawezaje kumsaidia mtu 20000 au 30000 muelimishe namna ya kufanya kazi na kujikwamua akienda kununua ugoro au pombe itamsaidia nini,acheni kufikiri kwa kutumia umasaburi.
mpumbavu ukimchanganya na ngano upumbavu wake hauiishi,msaidie elimu na si pesa,mpumbavu ni mpumbavu tu.Nani bora huyu anaye msaidia bibi au nyie mnaochangisha wananchi kujenga nyumba binafsi?
Nguvu ambazo tumepanga kuzitumia 2015 kuing'oa CCM nadhan itabd baadhi tuzitumie katika kuhakikisha mchakato wa katiba unaenda salama maana tukishapata katiba nzuri, ni obvious ushindi 2015 unatuhusu.Tatizo mchakato wa katiba mpya umebakwa na maccm tutegemee katiba mbovu isiyo kuwa na tija kwa taifa
Acha kufikili kwa kutumia mkono kumsaidia bibi kizee ni mpaka usubiri kwenye mikutano ya hadhara? Hospital ziko hoi hamna dawa,uwezeshaji kwa wazee haupo,makazi yao duni huko kusaidia kwa nyekundu nyekundu kutafaa nini?Nani bora huyu anaye msaidia bibi au nyie mnaochangisha wananchi kujenga nyumba binafsi?
Mmm, haiwaumi roho, kuchezzea maisha ya watoto wa wenzao.Hivi haya mambo hawajaacha tuu? Sasa tume za nini kuuliza kwa nini division zero ni za kufikia tuu? Jibu ndio hili,mchana kweupe wakati watoto wao wako shule wa wengine wanawachezesha gwaride.
nilicho jifunza kuwa watu wengi hawajui wanacho kiongea kuusu hii picha ukweli nikwamba watoto wandogo waonajifunza mambo ya sisiemu kupitia chipukizi na maranyingi inakua sio muda wa masomo sasa .sasa utakuta watu wana provoko vitu wasivyo vifua kwa kutafusili mambo wasiyo wajua ..
Mimi sina maneno mengi, nataka muangalie picha hizi kisha mtakachokiona mkitafakari.
![]()
Kinana anawanunua wazee waliokuwa awanachama wa CHADEMA.
Weka mbali na Tembo anajua biashara sana huyu!
![]()
Hapa wazee wanafurahia mauzo ya kadi za CHADEMA.
Angalia nyumba kabisa ya picha hiyo......kuna nini?
Kwanini CCM inawatumia wanafunzi kwenye siasa zao?Hivi ingekuwa chama cha upinzani inafanya hivyo wangepigaje kelele hawa?
Mimi sina maneno mengi, nataka muangalie picha hizi kisha mtakachokiona mkitafakari.
![]()
Kinana anawanunua wazee waliokuwa awanachama wa CHADEMA.
Weka mbali na Tembo anajua biashara sana huyu!
![]()
Hapa wazee wanafurahia mauzo ya kadi za CHADEMA.
Angalia nyumba kabisa ya picha hiyo......kuna nini?
nilicho jifunza kuwa watu wengi hawajui wanacho kiongea kuusu hii picha ukweli nikwamba watoto wandogo waonajifunza mambo ya sisiemu kupitia chipukizi na maranyingi inakua sio muda wa masomo sasa .sasa utakuta watu wana provoko vitu wasivyo vifua kwa kutafusili mambo wasiyo wajua ..
kuchukiua muda kidogo kufanya mambo ya chama .
mbona sisi tulikua chipukizi na tumefanya vizuri shuleni acheni kupotosha watu
Afadhali Kinana anamsaidia mama fedha. Slaa anachangisha fedha kwa ajili ya kufanya ufuska. Si mnafahamu mchumba wake Ms Mshumbuzi anavyotanua na fedha za ruzuku. Halafu muwape nchi wahuni hawa?
Msukule mamaako.Hawa misukule wanachangishwa hela halafu makamanda watia mfukoni
Yaani kama ni biashara kweli DJ anaijua kwa namna anavyokomba hela za hawa misukule