Picha: Masheikh Dar wamuombea dua RC Makonda

Picha: Masheikh Dar wamuombea dua RC Makonda

Mimi pia Sheikh vile vile.
Na namuombea Makonda Mungu amuumbue km anavyo waumbua wanyonge wasio na Hatia.
Amdhalilishe km anavyodhalilisha watu wasiokuwa na Hatia.
Amporomishe Chini km alivyo mporomosha Firaun na Maadui wa haki wengine.
Na ampige maradhi yasio poneka kwa Dhulma anazofanyia watu wasiokuwa na Hatia.

Can i get "Amen" .

Ahsanta.
Shekh kahtana mbona makonda kaingia na viatu na viatu kwenye nyumba ya ibada,
Au ndo allah alivyoagiza kwamba akija mtu ana mihela mingi asivue viatu
 
Aisee eti islamu ni dini ya khaki mtu na waviatu yake ndani noma sana, angetokea mfia dini mmoja angejilipua na kuwahi bikira zake 72 maana hakuna namuna kwa hali kama hii
 
katika uislamu hakuna utaratibu kama huu umekaa na mimbuti ya viatu kwenye mameza namna hii kama kanisani, kwanza makonda sio muislamu.
Dah nyie ndo mnaoichafua dini... Kuombewa ni kuombewa haijalish amevaa nn au anafanya nn, kwani we hujawahi kuombewa dua hata na mamaako wakt we haupo na pengne mda huo ulikuwa kwenye mambo ya kiibilisi?? Acha ubaguzi eti sio muislam kwan masheikh wanapofanya dua la kuombea Taifa huwa hawajui kuna wengine ni wa dini tofauti?
 
Wangemwongoza kwa sala ya toba wangemsaidia sana. Amekwaza wengi.
 
atubu kwanza aliiba cheti ndio dua itaingia otherwise apigwe laana maana anamchezea Mungu
 
Shekh kahtana mbona makonda kaingia na viatu na viatu kwenye nyumba ya ibada,
Au ndo allah alivyoagiza kwamba akija mtu ana mihela mingi asivue viatu
Na aliyekwambia hio ni nyumba ya ibada Shemeji yako.

Toka lini Ukakuta nyumba ya ibada ya waislamu kukawekwa viti na meza.
Au una malienge nyanyumbu?
 
Na aliyekwambia hio ni nyumba ya ibada Shemeji yako.

Toka lini Ukakuta nyumba ya ibada ya waislamu kukawekwa viti na meza.
Au una malienge nyanyumbu?
Kwahiyo ukisoma dua shekh khatan ni ruhusa kuwa na viatu et
 
Back
Top Bottom