cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 28,899
- 78,944
Amina.
Wewe ulikuwa unamshabikia Makonda, naona sasa unamkandia!Akitoka hapo anaenda kwa Masogange na kumtongoza Wema.
Nlijua jamaa ni mlokole,Du kweli Mungu wa michanganyo!
Muislamu anamuombea mkiristo dua gani?
Quran tukufu inafahamisha ~ :Enyi mlioamini msiwafanye Mayahudi na WakrisTo kuwa marafiki; wao kwa wao ni marafiki; na miongoni mwenu atakayefanya urafki nao, basi huyu yu pamoja nao; hakika Mwenyezi Mungu Hawaongozi watu wadhalimu.
ananukubusha enzi za KADIABA......goli kipa wa wakongoman.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiombewa dua na viongozi dini watika wa ufunguzi semina ya Walimu wanaosomesha Quran Tanzania.
View attachment 474598
Ha ha ha ha haaaaaa!!!! hi kali ya kuanzia mwaka ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaa!!! Mzee wa ufalme wa mbinguni anapigwa kisomo ha ha ha ha haàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiombewa dua na viongozi dini watika wa ufunguzi semina ya Walimu wanaosomesha Quran Tanzania.
View attachment 474598
hahahahhaHaya maigizo,naweza amini sasa anatembeza bahasha,Dua ya kiislamu na masheikh,mtu kakaa na viatu? Bora angesimama tu!!
Vinginevyo atuambie anakiombea cheti chake cha kidato cha nne na sita
Uyu chalii ana kila dalili zakuwa chizi.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiombewa dua na viongozi dini watika wa ufunguzi semina ya Walimu wanaosomesha Quran Tanzania.
View attachment 474598
mpuuzi weweHawa ni masheikh au makada wa CCM?
acha unafiki usio na tijaAnajifanya katumwa na mungu huku anaomba aombewa na wanadamu
Qualification ya kuombewa msingi wake ni imani. Huwezi kuwa mkristu halafu ukaombewa na muislamu. Ina maana haamini tena kwamba Yesu ndiye njia pekee? Kwani hapo kabla ya kumwombea wamemsilimisha? Usanii mtupu.comment nyingine utadhani qualification ya kuombewa ni kuwa malaika.