Ukimya pia ni sauti ya busara.Hawa ni masheikh au makada wa CCM?
I am speechless
Mbowe ni najisi anawauwa kwa ngandaKitu chochote kinachohusiana na CCM ni najisi kwa nchi yetu!!
Hawa ndio wanaotudhalilishia Dini yetu.Mkuu wa Mkoa wa Dsm,akiwa katulia katikati ya Masheikh huku wakimuombea dua
View attachment 474547
Duu...! We nawe hivi dua husomewa walio waislamu tu? Mbona watu husoma dua hata kwa ajili ya mvua nayo ni dini gani?katika uislamu hakuna utaratibu kama huu umekaa na mimbuti ya viatu kwenye mameza namna hii kama kanisani, kwanza makonda sio muislamu.
Sio wa BAKWATA hawa? ?Hawa ndio wanaotudhalilishia Dini yetu.
Na sisi tunaopenda Ukweli nafasi za Usheikh hatupewi hata tupigane na mizinga.
Hebu mtumeni huyo makonda akaombewe Dua na Sheikh mpenda HAKI na Msema Kweli al allama Sheikh Ponda uone km hakutolewa na Bakora za makalio.
Hao SIO MASHEIKH bali ni MASHEHENA. Yaani Mizigo kwenye Dini hii Tukufu.
Huyo Director wake hakufanya homework yake vyema.Hapo ni maigizo hakuna kuombewa wala nini... baba anapenda kamera huyu kama wemasepetu,halafu Kakosea script ukikaa hvo shurti uvue viatu...
Masheikh wa bakwataMasheikh wa ki islam


mbona kawekwa mtu kati au ndio maombi yanaingia vizuriUislamu Tanzania?!!Bakwata wanaiharibu uislam kwa njaa zao
Ndio hao watumishi waSio wa BAKWATA hawa? ?
Kama alie mteua tuuAnapenda kuombewa huyoo...
inaonyesha ana midhambi isiyoisha