Ya Kapuya hayahalalishi umbumbumbu wa LEMA, Kama LEMA hajaenda shule, hajaenda tu! Kumlinganisha Msomi mwenye Masters na Standard Seven Leaver sio Haki Kabisa.
kunamtu kanijuza kuwa vijana wametwangana baada ya kurushana posho kutoka kwa dr Alex..
sasa unachotaka tukilinganishe hapo ni nini? wkati una majibu yako tayari!Wengi hapo ni CCM...
Mini kabang ni nani, na nini maana yake?
Hakuna wakumfananisha na Zitto Chadema nzima na wanajua Hilo,Zitto kisiki cha Mpingo. Kataeni tuu kwa uzembe na chuki lakini kajana kichwa...
Leo Kigoma kaskazini kumetokea mapokezi ya mbunge wao Mhe. Zitto Zuberi Kabwe sitaki kuangalia yameandaaliwa na nani yawe yameandaa UVCCM ama CCM Zitto ninachotaka hapa tukiangalia ni mwitikio wa wananchi kwenye jimbo lake tukilinganisha na mwitikio wa mapokezi aliyowahi kuya pata mhe. Godbless Lema yaliyoanzia Kia mpaka jijini Arusha(Stand ya Nduruma)
View attachment 128023
View attachment 128024
View attachment 128038View attachment 128037
Kesho kutakuwa na Kikao Ofisi ya CCM Mkoa kujadili mapokezi na tathmini yake kwa ujumla kama wamefanikiwa au La.
Hivi wewe una akili timamu au? Hauwezi kulinganisha mapokezi ya hao watu wawili hata siku moja. Labda tu Uwe kibaraka, mchumia tumbo au mbulula wa upande mmoja.
Nasema hivi kwa sababu
Mapokezi yanatofautiana. Zito amevuliwa nyadhifa zote ndani ya chama, amerudi nyumbani kwao kupata huruma, sympathy kwa ndugu zake. Waha wengi wao hawajasoma, wana elimu ya darasa la Saba, hawana kazi,
pia mkoa wa Kigoma wakazi wake wengi ni waha. Wabishi na hawana uelewa wa mambo, wanapenda kufuata mkumbo ili waonekane wanajua. Hivyo ni lazima wajitokeze kumpokea kaka yao. Huwa wanachukia sana "wakabila" kama huwajui muulize zito.
Lena alikuwa akitoka kwenye kesi ilimrudishia ushindi, ilikuwa ni furaha, wakazi wengi wa arusha ni kutoka sehemu mbalimbali za tanzani, wengi sana elimu na pia wale walioishia darasa la saba wana uelewa zaidi ya wa Kigoma. Hiki na manispaa. Arusha ni mji wa biashara. Wengi walikuwa makazini, au kwenye shughuli binafsi.
Acha kunipa matumaini uliyonayo kichwani. Viongozi wa chadema Kigoma walipanga vurugu kwenye mkutano wa katibu wao. Si ajabu. Soma thread ya chadema kasulu
ACHENI porojo nyinyi...Wanajua walicho kifanya kwenye mapokezi hayo CCM wametumia pesa nyingi sana kuratibu....
mtu kukubalika kwenye siasa ni kutokana na kukubalika na watu na watu kutambua ni nini ulicholenga kuwafanyia sio kuangalia umesoma mpaka wapi wewe!