Picha Mapokezi ya Zitto Vs Lema


Ni kweli kabisa mkuu hakuna wa kufanana na Zito ndani ya CHADEMA. Hakuna wa kufanana naye kwa unafiki, usaliti na kiburi. Pia hakuna wa kufanana naye kwa kupika majungu na kujitafutia sifa binafsi. Hakuna ndani ya CHADEMA.
 
ni makosa makubwa kulinganisha mapokezi ya lema na zitto kwa maana wanatokea miji tofauti, yenye idadi ya watu tofauti na wenye hamasa tofauti.


Nidai pipi tukionana mkuu, umenena vizuru sana.
 
Ni kweli kabisa mkuu hakuna wa kufanana na Zito ndani ya CHADEMA. Hakuna wa kufanana naye kwa unafiki, usaliti na kiburi. Pia hakuna wa kufanana naye kwa kupika majungu na kujitafutia sifa binafsi. Hakuna ndani ya CHADEMA.

Hata kwa hayo pia Zito hamfikii Lema hata kidogo, kama unataka kuamini Lema ni mtu wa aina gani muulizeni Mh J. Nasari, Mawazo (aliyekuwa diwani), Lema ni zaidi ya Zitto karibu katika kila kitu kasoro tu utamkaji wa matamshi/maneno hapo ndo zitto alipomzidi Lema.
 
Sema CCM oyeeeeee!!!! sema CHADEMA Juuuuu!!!!!!!!!!11
 
Ya Kapuya hayahalalishi umbumbumbu wa LEMA, Kama LEMA hajaenda shule, hajaenda tu! Kumlinganisha Msomi mwenye Masters na Standard Seven Leaver sio Haki Kabisa.


Hivi kwenda shule ndo kuelimika? mbona mna mambo za ajabu kiasi hiko? hebu niambieni ktk baraza la mawaziri ni waziri gani mwenye elimu ya shahada moja? na wangapi wenye stashada za uzamivu na uzamilivu na nchi bado imekwama bado kwenye tope? ni bora nchi tukawapa wenye elimu ya darasa la saba maana naamini wanaweza wakatutoa ktk lindi la umasikini na si hawa ma pang'ang'a wanaojizuru/jiuzuru kila mwaka.
 
Hivi wewe akili zako huwa zinafanya kazi kweli? Utakuwa na asili ya ushoga ndio mana hujitambui!
 
CDM jeuri yakumfukuza Zitto hawana na wala hawatakua nao,Kahongwa wewe ulikua shaidi wakati anahongwa au ndio nyie mlozowea kuambiwa,ebu fikiri kiume wewe...
 


Nyumba ya professor ina ulinzi mkali wa KK Security, mbwa wa ulinzi, CCTV,

feance wire, detective light n.k ila jambazi kapita na kaiba bila hata kifaa na mlinzi

mmoja kungastuka

Swali, Je nani ana akili kati ya mwenye nyumba na professor (mwenye nyumba)?
 

Tunis akili zako acha kutumoa akili za wanaume wenzio WA lumumba kama Zitto Ni jembe basi si mumchukue mkampe majukumu lumumba?? LEMA jembe wewe tizama mapokezi yake hapo c yeye kama yeye Bali Ni chama Zitto Ni chotara mixer uvccm NA maccm... Zitto Ni jembe ccm LEMA Ni jembe Tanzania Ni kiboko ya magamba -------
 

Lema kapata mapokezi ya kileberali. Lema oyeee
 

Ahali yangu una masikio usikii sasa hata kwa macho uoni.

Hebu peruzi katika tovuti ya Bunge utazame CV za wawili hao. Lakin vile vile ukipitiaata katika ansard za bunge jaribu kuangalia nani katika wawili hao aliyewahi kutoa hoja nzito na zenye mantiki na faida kwa wananchi wa Tz. lakin sijui Lema kama ameweza katika uongozi wake kuweka Lami katika jimbo lake hata kilometa 10. Kwani ni jimbo pekee lisilokuwa na barabara ya lami ya halmashauri. Zote zile mnazoziona ni za TanRoad. Je umepita kwenye jimbo la Zito na kuona utendaji wake na uwajibikaji wake kwa jimbo lake.

Na siku zote mtu mzuri basi anasifiwa na Mola na utukufu wake utaangaliwa na kulindwa na Mola lakin muovu atasifiwa na atalindwa na wanadamu.

Zimwi la Zito litaisumbua sana Chadema.

lakin cha kujiuliza vipi utetezi wake mbona mpaka leo hakuna majibu. Tuvute subra labda watu wapo X mas.
 
Kingine kinachoonekana hapo ni kwamba kigoma imejaa watu masikini kuliko Arusha...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…