Lipumba aliipenda CUF ila Hamad aliipenda zaidi,RIP KAFU.
Anaingia saa saba mchana......akitokea marekani atakuwa akilidwa na maofisa toka umoja wa mataifa....nahisi chama chetu kitaanza kutambulika duniani
mako makuu ya cuf dar es salaam leo
Mbona misiba yenu mnafunika bendera zenu na tunakuja? CCM na CDM mna tabu sana!