PICHA: Mapokezi ya Prof Lipumba; Afande sele atumbuiza

CUF-makao-makuu-leo.jpg

mako makuu ya cuf dar es salaam leo
 
Star tv sasa imekua tv ya taifa Mungu awabariki,
namkumbuka Tido mzalendo wa nchi hii, mchakato majimboni ulimwondoa kazini, from TVT to TBC, tutakukumbuka ndugu yetu.
 
Ni vyema kabisa kurusha shuhuli hii ya maziko ya mzoga huu ulioanza kutoa harufu ya uozo.
Pole kwa msiba Lipumba, r.i.p CUF.
 
Anaingia saa saba mchana......akitokea marekani atakuwa akilidwa na maofisa toka umoja wa mataifa....nahisi chama chetu kitaanza kutambulika duniani
 
Anaingia saa saba mchana......akitokea marekani atakuwa akilidwa na maofisa toka umoja wa mataifa....nahisi chama chetu kitaanza kutambulika duniani

Mambo haya ndiyo yanayonikera.Kwa hiyo kuhangaika kote ni ili CUF itambulike duniani?
 
:cool2: Siku kadhaa zilizopita tuliambiwa Askofu kakobe anarejea kutoka korea na nchi za mashariki ya mbali, wananchi wa kundi lake walijitoza kwenda kumpokea.

Lipumba naye anatoka kuhemea wanakafu mnatakiwa kwenda kumpokea,

sasa sijui kuna uwiano gani kati ya kurudi lipumba na wanaCUF kwenda kumpokea, alivyoondoka aliaagwa? ama ndiyo kATIKA KUPIMA? CUF mmechemsha Lipumba hakuwa marekani kwa shughuli za chama ila kujikimu yeye na familia yake.
nendeni uwanja wa taifa mkaone mechi ya Simba na Toto angalau mkashushe stress za kufiwa na chama chenu mlichikipenda na sasa imebaki kaburi na mashada.
Asiyejua maana haambiwi maana haya kwa heri labda matafute mataji mpya lakini huu umekata.
 
Wakuu huyu jk ananishangaza mbona hamtumi huyu bingwa wa uchumi na wakati huo tunajua kuwa cuf ni ccm B?
 
Mie sijui anapokewa akitokea wapi na kufanya nini,mgogoro wa chama hakusikia na kutolea tamko kama m/kiti kunusuru maji yasimwagike?
 
Mbona misiba yenu mnafunika bendera zenu na tunakuja? CCM na CDM mna tabu sana!

Kumbe wanavyosema wadau kwamba sasa cuf ni marehemu ni kweli! Kulinganisha msiba na ujio wa kiongozi wenu mkuu tafsiri yake ni moja tu, kwamba anayepokelewa ni kiongozi wa chama marehemu.
R.I.P marehemu cuf!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom