Mgongo wa paka
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 485
- 36
maana mwenye macho haambiwi tazama uwanja wa jk nyerere wafura
Kwani Lipumba kwake wapi? Si hapa hapa?Wenye roho mbaya mezeni wmbe mjifie! Profesa wa ukweli anatua Bongo!
tupo uwanja wandege na subiri utaipata habari yake sikwambii uwanja wa jk wandege hapatoshi:cool2: Siku kadhaa zilizopita tuliambiwa Askofu kakobe anarejea kutoka korea na nchi za mashariki ya mbali, wananchi wa kundi lake walijitoza kwenda kumpokea.
Lipumba naye anatoka kuhemea wanakafu mnatakiwa kwenda kumpokea,
sasa sijui kuna uwiano gani kati ya kurudi lipumba na wanaCUF kwenda kumpokea, alivyoondoka aliaagwa? ama ndiyo kATIKA KUPIMA? CUF mmechemsha Lipumba hakuwa marekani kwa shughuli za chama ila kujikimu yeye na familia yake.
nendeni uwanja wa taifa mkaone mechi ya Simba na Toto angalau mkashushe stress za kufiwa na chama chenu mlichikipenda na sasa imebaki kaburi na mashada.
Asiyejua maana haambiwi maana haya kwa heri labda matafute mataji mpya lakini huu umekata.
Kwani Lipumba kwake wapi? Si hapa hapa?
Sasa nani anayeona wivu mtu kutoka safari ya kikazi?
Kwa kawaida, mtu akitoka safari ya kikazi huwa anakuwa amemisiwa zaidi na mkewe sasa nyie sijui vipi! Mmemmisi lipumba kuliko mkewe?
Mapokezi ya Prof.Lipumba yatakuwa yakirushwa LIVE na STAR Tv kuanzia saa 8.30 mchana leo.CONFIRMED
anamke nawatoto wakubwa ambao sasa wako ulaya. Mtoto wake awezekana kuja tabora kugombea ubungeBiri nasikia jamaa hana mke bhana...yawezekana hawa wanaompokea ndo wanatafuta hiyo nafasi mie nawatia moyo wakazane wanaweza bahatika.
Star tv sasa imekua tv ya taifa Mungu awabariki,
namkumbuka Tido mzalendo wa nchi hii, mchakato majimboni ulimwondoa kazini, from TVT to TBC, tutakukumbuka ndugu yetu.