PICHA: Mapokezi ya Godbless Lema jijini Arusha - Disemba 22, 2012

PICHA: Mapokezi ya Godbless Lema jijini Arusha - Disemba 22, 2012

nipo uwanja wa kilombero kuna pikipiki kama 30 hivi zinaingi hapa kusema kweli uamko wa watu ni mkubwa sana sijui kama huu uwanja utatosha leo karibuni hata wale wa ccm mje kusikia jembe likiongea pipoz .....................
 
leo ni historia,kuna makundi ya watu wanaelekea kwenye msafara wakitokea arusha mjini.hii ni ajabu!more than expected!

mbona kuna msafara mwingine umeelekea kilimo anga ule uwanja wa kisongo, ina maana hashuki tena KIA?
 
mkuu watu wameenda KIA na wengine tuko kwenye maskani mbalimbali za CDM.hakika ni jumamosi tamu mno!
hakika huu ushndi ni wa hak imetendeka nawaona makamanda wenzetu kigoma waksherekea ushind wa Lema,.kwel Lema m2 wa wa2...Arusha leo n bonge la wekend.
 
siasa za bongo ni pasua kichwa,hakuna ustaarabu hapa.tutaishia kuwa masikini kwani nchi kama marekani,ghana,kenya, rwanda n.k hawafanyi siasa za kitoto km hizi.tunapoteza muda mwingi sana kwenye siasa kuliko kutimiza wajibu kwa wapiga kura na walipa kodi.Kila aliyepewa dhamana na atimize wajibu wake.Tusigeuze Tanzania kuwa nchi ya malumbano ya kisisasa kila kukicha au ndio kusema mmepoteza ushawishi kwa wananchi na ndio wenye nchi.
Ndugu yangu acha wivu.

Kuna tatizo gani hapa?

Wananchi wa Arusha,mjini kwa mapenzi yao wamejitokeza mitaani kumpokea mbunge wao aliyekuwa 'Likizo ya Ubunge'.

Unazijua siasa za Rwanda, Kenya, Ghana, Marekani au unasema tu?
 
CHADEMA CHADEMA peoples power
Tanzania Tanzania peoples power!
Arusha Arusha peoples power!!
Lema Lema peoples power!!!!!!
Imbeni kwa suti kubwaaa hivyo vibwagizo
 
Amewasili tayari,,anaendelea na mizunguko ya jijini kwake..MUDA SI MREFU ataingia na msafara wake viwanja vya Kilombero,,watu bado wanamiminika kwenye uwanja huu
 
magamba watakoma mwaka huu..yani kama nawaona namna inavyowachoma, hapana katisha na kaniki ya kijani mjini arifuu utafanyiwa kitu mbaya bora mlale home na najua vitanda havilaliki leo..wataisoma kimya kimya!!
 
SAM_0594.JPG















































hapa wadau wakiendelea kusindikiza msafara.
 
CHADEMA CHADEMA peoples power
Tanzania Tanzania peoples power!
Arusha Arusha peoples power!!
Lema Lema peoples power!!!!!!
Imbeni kwa suti kubwaaa hivyo vibwagizo

amu umenifurahisha sana!
 
Last edited by a moderator:
msafara wa mh lema unakaribia kuingia viwanjani ila kiwanja hakitoshi kabisa watu nu wengi kupitiliza kweli ccm hawana chao
 
Godbless Lema ndo anaingia ktk viwanja hivi,,anawapungia watu mikono..AMEVAA TISHETI NYEUPE..uwanja unazidiwa kwa idadi ya watu
 
Tunaomba wale mlio A town mtujuze kinachoendelea huko. Tafadhalini makamanda .tunawafuatilia kwa karibu sana.
 
Back
Top Bottom