PICHA: Mapokezi ya Godbless Lema jijini Arusha - Disemba 22, 2012

PICHA: Mapokezi ya Godbless Lema jijini Arusha - Disemba 22, 2012

leo bora boda boda na wao wajipatie ulaji. Sijui zimekodishwa ngapi kwa kazi hii.

acha kuongea ujinga. Kumbuka hakuna asiyekula sote tuna tumbo ila hapa nilipo wangi wameweka boda boda zao mafuta wenyewe wengine wamewekewa na wazalendo na wapenzi wa chadema. Hata mimi niwaunga mkono kwa hili.
 
Ni zaidi ya umati, speechless, can't describe.

Videos later
 
Leo ni viroba tu na ganja.

Rtz, soma habari za siasa za Kenya, alafu uniambie kuwa kwanini Mie Sonko, Mbunge wa Makadara ambaye ni mtu wa kupelekwa jela kila kukicha, ambaye anatuhumiwa kwa madawa ya kulevywa ambaye anavaa mpaka hereni bungeni, ambaye anafanya fujo kila kukicha mtaani, mpaka wafuasi wake siku moja walienda polisi wakasema TUPENI MWIZI WETU, lakini anapendwa zaidi kuliko wanasiasa wengine?
 
Hapa ndio tunaingia mjini, tuko kwenye msafara wa Mbunge Lema. Tutakuwa na mkutano pale Kilombero muda mfupi ujao. Naapa kwa MUNGU sijawahi kuona msafara kama huu tangu nizaliwe! Siyo Mwl. Nyerere wala Pope John Paul II (RIP) au hata Mandela! M4C!
 
Makamanda wa Arusha Je Kamanda LEMA amefika??
Tujuze jamani kinachoendelea, Mkutano itafanyika wapi??
 
Hapa ndio tunaingia mjini, tuko kwenye msafara wa Mbunge Lema. Tutakuwa na mkutano pale Kilombero muda mfupi ujao. Naapa kwa MUNGU sijawahi kuona msafara kama huu tangu nizaliwe! Siyo Mwl. Nyerere wala Pope John Paul II (RIP) au hata Mandela! M4C!

Kusema kweli jamii forum imevamiwa
 
Nipo njiani kwenda Arusha kusheherekea ukombozi wetu,don give up my people,lazima kieleweke.
 
Hapa ndio tunaingia mjini, tuko kwenye msafara wa Mbunge Lema. Tutakuwa na mkutano pale Kilombero muda mfupi ujao. Naapa kwa MUNGU sijawahi kuona msafara kama huu tangu nizaliwe! Siyo Mwl. Nyerere wala Pope John Paul II (RIP) au hata Mandela! M4C!

Mkuu mbona hatuoni updates za picha za huo msafara..hebu tupi picha maneno matupu cc tunashindwa kuamini
 
siasa za bongo ni pasua kichwa,hakuna ustaarabu hapa.tutaishia kuwa masikini kwani nchi kama marekani,ghana,kenya, rwanda n.k hawafanyi siasa za kitoto km hizi.tunapoteza muda mwingi sana kwenye siasa kuliko kutimiza wajibu kwa wapiga kura na walipa kodi.Kila aliyepewa dhamana na atimize wajibu wake.Tusigeuze Tanzania kuwa nchi ya malumbano ya kisisasa kila kukicha au ndio kusema mmepoteza ushawishi kwa wananchi na ndio wenye nchi.
 
Hapa ndio tunaingia mjini, tuko kwenye msafara wa Mbunge Lema. Tutakuwa na mkutano pale Kilombero muda mfupi ujao. Naapa kwa MUNGU sijawahi kuona msafara kama huu tangu nizaliwe! Siyo Mwl. Nyerere wala Pope John Paul II (RIP) au hata Mandela! M4C!

Ya kweli hayo? Tutupie picha tuamini
 
Ishu ni kuwa arusha ni kama nchu iliyo huru si kama baadhi ya maeneo kama dar es salaam. Kamaarusha in mchanganyiko wa watu kwa nini dara isibadilike? Semeni ni kwa nini? Tunajivunia uvumilivu wa kuonewa na wanaojiita majoka na kujivua wameshindwa kabisa. Mie nacheka mana huwa nyoka akishindwa kujivua hufa alipo na wala hasogei. Lema na arusha apingae aandae bilioni ya kutulipa rufani. Acheni ujinga milio na misimamo finyu.
 
usihofu kamanda!

picha ungekuwa unazipandisha au kama vipi mamods wote wanakesha hili jukwaa watusaidie kupandisha picha tufaidi.
Roho inauma nipo mbali ningeimba mpaka sauti ingekauka
 
tokea Mungi aogope ban za JF na kile kisa cha mwanamke, amekuwa muoga wa kuripoti matukio live
 
MUNGU ibariki CHADEMA,MUNGU mbariki kamanda GODBLESS LEMA.Daima HAKI ni swala la muda tu,kwamwe haipotei.
 
Back
Top Bottom