PICHA: Mapokezi ya Godbless Lema jijini Arusha - Disemba 22, 2012

PICHA: Mapokezi ya Godbless Lema jijini Arusha - Disemba 22, 2012

Hakika sijapata kuona msafara wenye shamrashamra, hamasa na mrefu wa aina hii hapa mjini.

Ccm lazima wakubali kuwa Arusha wameipoteza, na kama mwaka 2015 watasimamisha mgombea, basi itakuwa ni kutimiza Ratiba.
 
Lema shujaa,Tundu, Mnyika, nyinyi ni role model wangu...natamani sana kuwa kama nyinyi...sijawahi kupenda ndumila kuwili kama zitto pamoja na jitihada zake alizowahi kufanya tangu nikiwa naye Mlimani lakini bado ni power monger asifuata utaratibu ana price tag
 
mods hebu fanyeni msaada wa kupangilia hizi pics ,huku tunakimbizana na matukio ile mbaya..
 
Lema wachome wachome wachomeke,wameinamisha vichwa kwa aibu hiyooooooo mi ccm.
 
usihofu kamanda!

MKUU!

Nimekuaminia KAMANDA wangu.

I don't know how to express my thankx. Just accept the word of thanks from me and some other comrades here in Scandinavia. Big up CHADEMA and our GOD bless MPIGANAJI GODBLESS LEMA.
 
Makamanda wa Arusha Je Kamanda LEMA amefika??
Tujuze jamani kinachoendelea, Mkutano itafanyika wapi??

Sheikh Hassan wa Olorien ndio anasoma dua then Askofu Baltazar naye anasali then mkutano utaendelea.
 
CHADEMA CHADEMA peoples power
Tanzania Tanzania peoples power!
Arusha Arusha peoples power!!
Lema Lema peoples power!!!!!!
Imbeni kwa suti kubwaaa hivyo vibwagizo

Yeaaaaap...........!
 
endeleeni kuleta picha zaidi, wazee wa arusha msituangushe.
 
kuna wingu kubwa limetanda hapa arusha baada ya lema kuingia katikati ya jiji!!
 
Hapa anakaribishwa MH LEMA anasalimia, then Grace Kiwelu naye anasalimia. Arusha hoyee!
 
Leo ni viroba tu na ganja.

Tatizo lako ni kukariri

Maish_7.jpg
 
Zitto yupo kwenye mapokezi??au atasema wamemtenga!

Achana naye huyo. KAMANDA Mh. Lissu keshamaliza habari yake. Hakuna mwana CHADEMA atakaye fanya kazi za CCM tukamuacha (Mh. Tundu Lissu - Dar 2012).
 
Back
Top Bottom