PICHA: Mapokezi ya Godbless Lema jijini Arusha - Disemba 22, 2012

PICHA: Mapokezi ya Godbless Lema jijini Arusha - Disemba 22, 2012

Akili Kichwani ndugu ni kweli this man now has become the talk of this nation. God bless, Gobless Lema. Amen
 
nivea umenikosha kwa haya maneno kwakweli!
arusha ni nchi nyingine tofauti kabisa na tz.hata watu wake wanaona mbali sana si sawa sie wala utumbo wa kuku hapa bongo.
 
Last edited by a moderator:
nivea umenikosha kwa haya maneno kwakweli!
arusha ni nchi nyingine tofauti kabisa na tz.hata watu wake wanaona mbali sana si sawa sie wala utumbo wa kuku hapa bongo.
 
Last edited by a moderator:
Weraaaaweraaaaaaaaaaaweraaaaaaaaaaaaaaa! kumekucha leo Arusha! Tunaweza kuiita ni WIKIEND YA Lema wadau au sio leo hatumwi mtu Dukani Pipozzzzzzzzzzz! pawaaaaaaaaaa! Viva Chadema
 
Leo bora boda boda na wao wajipatie ulaji. Sijui zimekodishwa ngapi kwa kazi hii.
Napenda kukuambia cdm hata siku moja hawakodishi boda boda.Biashara ya bodaboda ni zao la ccm baada ya kuua viwanda na kubinafsisha rasilimali za nchi yetu .Bodaboda tuna uchungu na nchi yetu tunaamini mkombozi wetu ni CDM.
 
niko hapa Tengeru watu ni wengi sana wakisubiri msafala..
 
Hakika huyu alikuwa ni mwana wa Adamu........................ walitandika nguo na matawi ya mitende ili mwana wa adamu apite! nadhani mnanielewa vzr wadau au sio Viva cdm
 
wakuu hiyo ni sign tosha kwa ccm kuwa hata waje na jeshi gani Arusha ni ya chadema, poleni sana wana ccm pamoja na unaoshadadia mafisadi.
 
Duh makamanda pale kilombelo uwanja mdogo sana bora wangepeleka viwanja vya relini make sipati picha ya nyomi. Viva cdm
 
Leo ni viroba tu na ganja,

Ritz unanikumbusha Malima alikula viroba na mibange wakamkomba! hiyo kwa CHADEMA mwiko!

 
Ritz kama mkimleta Sokione Jr huenda 2015 mkampa challenge hevi Lema ila sisemi mtashinda
 
Oooooooooooooooooooooooooooh Pamoja Sana mwambieni makamanda wake UDOM tunamsubiri mlezi wetu..............shangwe sana..........oooooooooooooooooooooooooooooooooh
 
leo ni historia,kuna makundi ya watu wanaelekea kwenye msafara wakitokea arusha mjini.hii ni ajabu!more than expected!
 
Back
Top Bottom