PICHA: Mapokezi ya Godbless Lema jijini Arusha - Disemba 22, 2012

PICHA: Mapokezi ya Godbless Lema jijini Arusha - Disemba 22, 2012

Ni kweli ukombozi wa nchi hii unaanzia arusha, jembe lema hongera sana kwa kuitendea haki likizo ulopewa na mafisadi.
 
kuna wingu kubwa limetanda hapa arusha baada ya lema kuingia katikati ya jiji!!

KAMANDA!

Usijali kwani hiyo pia ni baraka toka kwa Mungu. Kumbuka kila chema kutoka kwa Mungu, kionyeshwa kwa ishara za MAWINGU.

TUNA MUNGU MAGAMBA WANA MAFISADI.
 
siasa za bongo ni pasua kichwa,hakuna ustaarabu hapa.tutaishia kuwa masikini kwani nchi kama marekani,ghana,kenya, rwanda n.k hawafanyi siasa za kitoto km hizi.tunapoteza muda mwingi sana kwenye siasa kuliko kutimiza wajibu kwa wapiga kura na walipa kodi.Kila aliyepewa dhamana na atimize wajibu wake.Tusigeuze Tanzania kuwa nchi ya malumbano ya kisisasa kila kukicha au ndio kusema mmepoteza ushawishi kwa wananchi na ndio wenye nchi.

Sasa hapa unawaambia hawa CDM ama wenye dola inaowabidi kutekeleza hayo majukumu. Hawa wananchi wamekata tamaa kwa kuona hao wenye dhamana hawawatendei sahihi zaidi ya kuatamia UFISADI na UJANGILI ndani ya chama TAWALA na SERIKALI. Ndiyo maana wanaona bora kama wataweza kuwaondoa hao wabadhilifu ili kodi yao iwatumikie kisahihi. Wewe fikiria kitengo kidogo kama BANDARI walikuwa wanafuja jaidi ya BILIONI ISHIRINI kwa mwezi, tunamsifu Mh.Mwakiembe kwa kufanikisha kuwaondoa wabadhilifu wachache na kuweza kuongeza pato serikalini ambalo lilikuwa linaishia kwa watu wachache wasiofikia 20. Hii ni ishara ndogo ya amani kuwa wananchi wamechoshwa na mfumo dhalimu wa nchi yetu.
 
kuna wingu kubwa limetanda hapa arusha baada ya lema kuingia katikati ya jiji!!

KAMANDA!

Usijali kwani hiyo pia ni baraka toka kwa Mungu. Kumbuka kila chema kutoka kwa Mungu, kionyeshwa kwa ishara za MAWINGU.

TUNA MUNGU MAGAMBA WANA MAFISADI. MBARIKIWEEE.......!!!!!!!!!!!!!!
 
Ee Mungu waweza hata kuchukua Roho yangu sasa baada ya kuiona siku hii niliyoisubiri kwa hamu

Kamanda!

Bado tunakuhitaji kwenye harakati za ukombozi wa nchi hii kutoka kwenye makucha ya MAFISADI.
 
Amani Golugwa katibu wa CDM ndio anatoa salam then anamkaribisha John Heche ili amkaribishe Jembe Godbless Lema.
 
Golugwa:
Niwatangazie ccm kuwa ndani ya mwezi moja watazaliwa lema kama kumi mtachanganyikiwa mpaka mtashangaa.
wameuza viwanja vyetu.
tutakapochukua nchi 2015 viwanja vyote vilivyojengwa kabla ya mfumo wa vyama vingi tunazirudisha kwa wananchi.
sheikh amri abeid na viwanja vingine vyote vitakuwa vya umma
 
Kulikuwa na ulazima wa Heche kwenda Arusha. Ruzuku ruzuku ruzuku.
 
Golugwa:
2013 ni mwaka wetu tunawaomba mtuamini tutawapeleka mchaka mchaka ccm mpaka wapotee kabisa.
 
Golugwa: CHADEMA ikichukua nchi watagawa viwanja vyote vya wazi kwa wananchi ukiwepo uwanja wa SHEIKH AMRI ABEID na vingine contry wide.
 
Golugwa:
tarehe 21 January 2013 tutakuwa tunatimiza miaka 20 tangu chadema ilipoanzishwa.
hivyo kabla ya kipindi hicho tutakuwa na chadema week ambayo itashughulika kusajili au kujua ina wanachama wangapi. kutakuwa na mabanda maalum kwa ajili ya uhakiki.
 
Back
Top Bottom