PICHA: Mapokezi ya Godbless Lema jijini Arusha - Disemba 22, 2012

PICHA: Mapokezi ya Godbless Lema jijini Arusha - Disemba 22, 2012

Alianza usumbufu wa kutembelea majimbo mbalimbali nchi nzima ndiyo maana kamati ya ufundi ikiongozwa na wazee wazima akina Mangula wameona arejeshwe mjengoni ili M4C iwe kushney. Kwa fukuta CDM maana wanazidi kujianika hata kama coverage ya media itakuwa ni ushind wa Lema, viva CCM, RIP CDM
Haya maneno naona kama yana ujumbe fulani,nuenda ni kweli CCM waliona Lema kawa hatari zaidi akiwa nje ya mjengo lakini all in all CHADEMA ni majembe kwa vyovyote vile wanasonga mbele muda umefika.Hata wakoloni walikuwa wanaamini kwamba watatawala milele lakini waliondoka sembuse CCM lazima ing'oke
 
wakati lema akishinda mapambano ya CCM Arusha waandishi wa habari wagawanyika kuhusu nani alipaswa kushinda huku, baadhi ya waandishi waliopanga kugombea ubunge 2015,kuanza kuingia kwenye makundi huku kamati kuu ya mkoa CCM ikimbariki Mwandishi JOHN MWAKIPESILE kugombea ubunge 2015,
 
wakati lema akishinda mapambano ya CCM Arusha waandishi wa habari wagawanyika kuhusu nani alipaswa kushinda huku, baadhi ya waandishi waliopanga kugombea ubunge 2015,kuanza kuingia kwenye makundi huku kamati kuu ya mkoa CCM ikimbariki Mwandishi JOHN MWAKIPESILE kugombea ubunge 2015,
Wamlete hata Kikwete...
View attachment 76404
 
wazee wa magamba waliokata rufaa walitumwa na nani mbona mwenyewe mama Buriani kajipumzikia visiwani anapunga upepo wa bahari na mheshimiwa wake,nyie na kiherehere chenu mmevuna nini?
 
Leo bora boda boda na wao wajipatie ulaji. Sijui zimekodishwa ngapi kwa kazi hii.

hivi hawa jamaa wanapewe chochote au wanajitolea? maana sielewi. hata kumpokea kinana walikuwa wengi sana hapa inakuwaje wakuu wenye majibu???
 
photo.jpg


MWAMBIE CHOPA NA AMBULANCE YETU ATUKABIDHI.
 
paka sasa hivi hakuna hata kimoja kilichofika Tanzania, habari kutoka Uingereza zinasema kuwa ilikuwa ni usanii wa Lema hakuna chochote.

600.jpg

26_27_ambulance_cutaway.jpg


lema-chopper.jpg
 
kesi iliyofunguliwa na ccm dhidi ya Godbless Lema ilikuwa na lengo la kummaliza kisiasa lakini mambo yamekuwa tofauti kabisa kwani ndio kwanza wamempa promotion na naamini mwaka 2015 ktkt uchaguzi wa ubunge jimbo la Arusha mjini mgombea wa ccm huenda akapata chini ya kura 5000 endapo tu atakabiliana na Lema wa chadema. uonevu aliofanyiwa Lema umempandisha juu zaidi, long live Godbless Lema " The tireless Commander".
 
Back
Top Bottom