Leo bora boda boda na wao wajipatie ulaji. Sijui zimekodishwa ngapi kwa kazi hii.
MKUU huyu RITZ achana nae yeye mwenyewe anabwia hivyo vitu,aliahidiwa maisha bora na raisi wake dhaifu hadi leo hajayapata,aliahidiwa ajira milioni nazo hamna kitu kwa nini asifakamie viroba na ganja huwa humwoni pale kipawa njia ya airport????.Mwone huyu mchawi Ritz; mtumwa anavyowanga! Hapa kwetu viroba + ganja ni kawaida kutokana serikali yako unayokutumikisha inavyoruhusu kutumika!
kwa wale walioko maeneo mbalimbali ya Arusha tuweke picha za matukio mbalimbali kuhusiana na mapokezi ya kamanda Godbless Lema.
View attachment 76249
inasemekana hili ndilo gari la wazi atakalopanda kamanda Lema
View attachment 76250
makamanda wa boda boda maeneo ya philips wakijiandaa kuelekea KIA(hata wanyama kama mbwa wametaharuki)
View attachment 76251
makamanda mbalimbali wakijiandaa na maandalizi!!
more pics to come....!