PICHA: Mapokezi ya Godbless Lema jijini Arusha - Disemba 22, 2012

PICHA: Mapokezi ya Godbless Lema jijini Arusha - Disemba 22, 2012

.....Kamanda Lema..ni....jembe la kiangazi na masika...!!!!!!!!!!!!!!!
..... ........halitegemei utamibiri wa hali ya hewa !!!!!!
 
hapa kuna kitu kinakosekana nacho ni picha sie wa mbali anaglau tupia kamoja tu
 
Leo ni viroba tu na ganja.
unapenda chafu hali ya hewa kam ayule mnyama aitwae fungo anaykunya sehemu moja hadi panakuwa uozo kila mahali.Hivi unawaona watu wa arusha, kam wa dar wanaoishi kiujanja ujanja.Mbona unajisugua sana na watu kama mwanamke aliyeachika.Sasa virba vikinyweka ni vyako au unaona wivu?
 
Leo bora boda boda na wao wajipatie ulaji. Sijui zimekodishwa ngapi kwa kazi hii.
hakuna bodaboda asiye na bendera CDM.Ukimwona katundika ya CCM ujue kakodishwa hela mingi kiasi cha kuja waeleza wenzie habari inayoweza washawishi kuwa alistahili kushika najisi.
 
Nimechelewa! Hongeren makamanda,wangetoa namba za mpesa,tigo au airtel tumchangie kamanda.Mungu akupe afya na akulinde
 
naona hadi baba mkwee katoa mabus yake yabebe washabiki...mtei bus
teh teh..huyo mtei si unayedhani.Umbea wnu upo juu sana.Koo za wachaga nyingine ni kubwa kiasi watu hawajuani.
 
teh teh..huyo mtei si unayedhani.Umbea wnu upo juu sana.Koo za wachaga nyingine ni kubwa kiasi watu hawajuani.

Mkuu Nicholas kuna majuha mengine hapa Jf ni kuyaacha yapotoke tu sababu gharama za kuyaelimisha ni kubwa kuliko kuwekeza kwenye kizazi kipya kitakacho yaishi haya mabadiliko tunayoyapigania!
 
Alianza usumbufu wa kutembelea majimbo mbalimbali nchi nzima ndiyo maana kamati ya ufundi ikiongozwa na wazee wazima akina Mangula wameona arejeshwe mjengoni ili M4C iwe kushney. Kwa fukuta CDM maana wanazidi kujianika hata kama coverage ya media itakuwa ni ushind wa Lema, viva CCM, RIP CDM
 
naona hadi baba mkwee katoa mabus yake yabebe washabiki...mtei bus

Meku Mtei huyu wa Mtei Express ni Wa Babati na Sio Mtei wa Chama (anaishi Arumeru). Umbea huu ulokuja nao ni wa kitoto sana.

Plus hapo ulipoona picha ya Bus ni maeneo ya shughuli za Bus hili likienda na kazi za kupeleka raia mikoani.
 
Alianza usumbufu wa kutembelea majimbo mbalimbali nchi nzima ndiyo maana kamati ya ufundi ikiongozwa na wazee wazima akina Mangula wameona arejeshwe mjengoni ili M4C iwe kushney. Kwa fukuta CDM maana wanazidi kujianika hata kama coverage ya media itakuwa ni ushind wa Lema, viva CCM, RIP CDM
Join Date : 13th October 2012-hongera kupata ajira Lumumba!!
 
Mkuu Nicholas kuna majuha mengine hapa Jf ni kuyaacha yapotoke tu sababu gharama za kuyaelimisha ni kubwa kuliko kuwekeza kwenye kizazi kipya kitakacho yaishi haya mabadiliko tunayoyapigania!
halafu hawa jamaa hawajui huyu mtei ana mabasi yanazidi 100 nje ya haya ya marcopolo yaendayo dar/ar ,ana mabasi ya Tanga na mengine yaendayo njia ya vumbi(njia ya siingida ,karatu ,mbulu etc), huwezi kaa arusha kd 3 yasipitie hayo magari ndio maana ktk event km hii msongamano wa magari kuna uwezekano wa kuyapata ktk picture.
 
Kama ni hivyo, mbona CCM YENU HAIKUSHINDA.

ACHA KUROPOKA WEWE!!
Sikukumbuki kukuambia ww mropokaji kuwa mimi ni CCM,umeropoka vema mropokaji.Na ndo tatizo lako pamoja na waropokaji wenzio kuwa mtu yeyote anayetofautiana na ninyi ni CCM.Mtaiua Chadema kama ambavyo maadui wake wanavyotabili.
 
Kwa bahati mbaya kabisa sijawahi kuona japo kijana mmoja aliye mwanachama wa ccm Arusha.
 
Unajua ukiwa huna akili hata za kupengea kamasi halafu bahati mbaya sana ukawa hufatilii mambo yaani wewe kwenye dunia ni afadhali unyongwetu labda nikukumbushe kidogo tu kenya baada ya Obama kushinda uchanguzi wa marekani hawakufanyakazi kwa takribni siku tatu na hii ilitangazwa na raisi wao lakini leo hii una shanga watu wa Arusha kujitokeza kumpokeaa mbunge wao na rudia tena mbunge wao tofauti na wakenya walio acha kufanya kazi zao kwa kushangilia raisi wa marekani kama una akili nakushuri ukajinyonge tu maana huna faida yoyote kwenye taifa hili
siasa za bongo ni pasua kichwa,hakuna ustaarabu hapa.tutaishia kuwa masikini kwani nchi kama marekani,ghana,kenya, rwanda n.k hawafanyi siasa za kitoto km hizi.tunapoteza muda mwingi sana kwenye siasa kuliko kutimiza wajibu kwa wapiga kura na walipa kodi.Kila aliyepewa dhamana na atimize wajibu wake.Tusigeuze Tanzania kuwa nchi ya malumbano ya kisisasa kila kukicha au ndio kusema mmepoteza ushawishi kwa wananchi na ndio wenye nchi.
 
More Pics
SAM_2970.JPG SAM_3034.JPG SAM_3037.JPG DSC04569.JPG
SAM_2974.JPG SAM_3000.JPG DSC04533.JPG DSC04538.JPG
SAM_2991.JPG SAM_3010.JPG DSC04501.JPG
SAM_2991.JPG SAM_2995.JPG DSC04496.JPG
Kabla ya mkutano kumalizia lema aliwaelezea mchakao wa kununua gari litakalokuwa linabeba vifaa vya matangzano watakapo anza kampeni ya kuishughulikia CCM mapema mwakani ambalo gari hilo litakuwa ni la Arusha tayari vifaa vya vya matangazo tulishanunu vyenye samani ya mil 14.6 na gari aina ya canter tulisha changisha mil 27.5 hivyo aliwaomba michango yao na walichanga kiasi cha mil 1.5...
 
Meku Mtei huyu wa Mtei Express ni Wa Babati na Sio Mtei wa Chama (anaishi Arumeru). Umbea huu ulokuja nao ni wa kitoto sana.

Plus hapo ulipoona picha ya Bus ni maeneo ya shughuli za Bus hili likienda na kazi za kupeleka raia mikoani.
Acha watape tape na wasaliti wameshindwa kuiokoa CCM sijui plain F yao ni ipi wajue tu chadema iko kwa mipango ya Mungu watateketea wote na wachawi wao...
 
Back
Top Bottom