Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,640
- 164,788
Naona sasa ni michango kwa ajili ya ununuzi wa gari unaendelea.Kamanda Lema ndio anaongoza harambee hiyo.Kikubwa alichonifurahisha ktk hotuba yake ni kuvitaja hadharani vyombo vya habari vinavyotumika kuihujumu chadema ikiwepo star tv.Huu ndio ujasiri tunaoutaka.