PICHA: Mapokezi ya Godbless Lema jijini Arusha - Disemba 22, 2012

PICHA: Mapokezi ya Godbless Lema jijini Arusha - Disemba 22, 2012

Moto wa CDM hauzimiki, kwa kweli CDM inanipa hamu
 
Nilimsikia Lowasa baada ya mkutano mkuu wa ccm wa mwezi novemba kuwa anapenda aone cdm inapotea Arusha. Mapokezi ya Lema leo yatakuwa yamempa shock!
 
Hakuna maneno tunayoweza kuandika hata pangewekwa picha 1000 bado hali halisi ya furaha na hamasa ya watu wa Arusha hailezeki kwa andiko lolote.
 
Twazidi kusonga mbele na tuongezee juhudi zaidi, ili mfano wa wananchi Arusha uzae ukombozi wa Tanzania nzima kwani uoga wetu ni maumivu kwetu.
 
Arusha imerudishiwa Lema kama Mbunge wao. Kwa hakika ni kwamba Jimbo la Arusha litachukuliwa na CCM 2015.
 
Amani bila madawa hospitalini,elimu duni,hakuna ajira kwa vijana,miundombinu hovyo wana JF mnasema?
 
tunawashukuru kwakutufanya tuliombali kuwakama tuponanyi.
 
Jimbo la Singida Mashariki linatarajiwa kuwa la CCM mwaka 2015. Hii ni kwa kuwa mbunge wake Tundu Lissu kukosa mvuto.
 
Hakuna maneno tunayoweza kuandika hata pangewekwa picha 1000 bado hali halisi ya furaha na hamasa ya watu wa Arusha hailezeki kwa andiko lolote.

Mkuu inabidi tuusherekee huu ushindi kwa pamoja
 
ccm wanataka tuamini kusililizana na kushirikiana kwa wananchi ndio amani
 
Jamani kusoma amuwezi hata picha amzijui. Star tv inamilikiwa na anton diallo ambae sasa ni mwenyekiti wa magamba [ccm]
jiji la mwnza.
 
kwa wale walioko maeneo mbalimbali ya arusha tuweke picha za matukio mbalimbali kuhusiana na mapokezi ya kamanda godbless lema.

attachment.php

inasemekana hili ndilo gari la wazi atakalopanda kamanda lema

attachment.php

makamanda wa boda boda maeneo ya philips wakijiandaa kuelekea kia(hata wanyama kama mbwa wametaharuki)

attachment.php


makamanda mbalimbali wakijiandaa na maandalizi!!


More pics to come....!

attachment.php


jembe letu limerudi jembe letu limerudi!!sio maneno yangu haya jamani....

attachment.php

hapa ni tengeru.....

attachment.php



attachment.php


hapo chini msafara umeingia katikati ya jiji...kama alivyotuletea crashwise

attachment.php

naona hadi baba mkwee katoa mabus yake yabebe washabiki...mtei bus
 
Jinsi Lema anavyopendwa inaumiza vichwa sana vyama vya upizani katika uchaguzi wa 2015
 
Jimbo la Singida Mashariki linatarajiwa kuwa la CCM mwaka 2015. Hii ni kwa kuwa mbunge wake Tundu Lissu kukosa mvuto.

Tumekushtukia kwamba unahitaji reply kinguvu ili uonekane na wewe upo Jf , kisa nini , unataka sifa ?
 
Back
Top Bottom