PICHA: Mapokezi ya Godbless Lema jijini Arusha - Disemba 22, 2012

PICHA: Mapokezi ya Godbless Lema jijini Arusha - Disemba 22, 2012

heche:
Arusha ni kitovu cha chadema arusha ni kitovu cha mabadiliko!
Hatutakubali kuipoteza arusha ambayo ni tumaini la watanzania.
Lowassa anashangaa kwanini arusha chadema bado ipo!
Nami nashangaa kwanini lowassa anatembea hadharani wakati ni mwizi na fisadi na alitakiwa kuwa magereza!
Nitoe nafasi hii kutoa wito kwa serikali kuwa chadema inataka uchaguzi wa madiwani wa arusha uitishwe mara moja.
La sivyo, wao wana polisi na sisi tuna wananchi tuone kama watakabiliana na umati wa wananchi kama hawa.
Madiwani tuliowatimua hatutawaacha hivihiv, watatulipa milioni 15, tayari wameshalipa milioni mbili na laki tano.
Wasipomaliza ni tutawafunga.

Jambo lingine:
Kuna mkakati umeanza tena wa pesa nyingi wa kumchafua dr. Slaa kuanzia sasa mpaka 2015.
Kuna redio zinaanzishwa kwa makusudi maalum, vijana wamenunuliwa ma laptop kwa ajili ya kumchafua dr. Slaa.

Tunataka kuwaambia ccm kuwa dr. Slaa ni chaguo la mungu.

Bahati mbaya sana wana mtu moja mropokaji ambaye ni nape.
Nina wasiwasi na nape kama ni mtoto wa mzee mosses nauye, manake mzee nauye alikuwa mwenye akili na hekima.

kuna member humu jf kaandika jina lake kamili ni nape mark mwandosya..tutasikia mengi mwaka huu
 
thanks kamanda.............. natumia mchina lakini yupo fast kuliko kawaida manake mtumiaji mwenye ziko mbele dakika tano hahaaaaaa

Ikiwa kweli ni ka-mchina, basi nadhani huwa ukiandika, sometimes macho yanakuwa mkutanoni wakati vidole vyenyewe vinacheza na hako ka 'mchina'; unafanya tu kutupia macho kwenye kamchina then mkutanoni haha!!

Vipi huwa hakapigi picha Mkuu Mungi hako 'Ka-Mchina'?! Hahaha!
 
Last edited by a moderator:
Ikiwa kweli ni ka-mchina, basi nadhani huwa ukiandika, sometimes macho yanakuwa mkutanoni wakati vidole vyenyewe vinacheza na hako ka 'mchina'; unafanya tu kutupia macho kwenye kamchina then mkutanoni haha!!

Vipi huwa hakapigi picha Mkuu Mungi hako 'Ka-Mchina'?! Hahaha!

kamchina kangu ni samsung mkuu inapiga picha na video inachukua.
 
Last edited by a moderator:
Angalia background ya studio ya STAR TV ya kurushia matangazo hasa asubuhi utaona rangi ya CCM-Kijani ya magamba
 
Leo usiku chadema marekani wanaparty kusherekea huu ushindi.
My friend kanicall kuniambia
 
ni takriban majuma matatu au zaidi tangu katibu mkuu 'mpya' wa CCM ndugu kinana Jijini Arusha na kuhadaa umma kuwa walipokelewa kwa kishindo.
Nilichokiona leo hii ndani ya Arusha ni pigo takatifu dhidi ya CCM,Kinana(mbunge wa zamani wa arusha) na mafisadi wote kwa ujumla.

Tunajua kuwa vyombo vya habari vimeshikwa na ccm lakini kilichotokea arusha ni zaidi ya maajabu.ni zaidi ya siku alipotangazwa Lema kuwa mbunge.
 
Mbona star tv walikuwa hawafungaman naupande wowote imekuwaje tena?ime amua kujivunjia heshima mbele ya jamii wawe makini wasijewakasusiwa matangazo
mkuu hujajua kwamba boss wa star tv ni kada wa magamba? Tena nasikia ameanza kuwapiga biti watangazaji wake kuhusiana na kurusha vipindi vya wapinzani.
 
Back
Top Bottom