PICHA: Mapokezi ya Godbless Lema jijini Arusha - Disemba 22, 2012

PICHA: Mapokezi ya Godbless Lema jijini Arusha - Disemba 22, 2012

Nassari:

Nilichaguliwa kuwa mbunge wa A/mashariki, siku tatu baadaye ccm kwa hila wakamvua ubunge brother.
Nilikabidhiwa jimbo, Dr. Slaa akamwambia Lema hakikisha unamleta Nassari bungeni.
Lema akanikabidhi jimbo la Arusha, akanikabidhi wamachinga, akanikabidhi majukumu nikamwambia nikabiliana vipi akaniambia kamanda komaa.
Lema alivuliwa ubunge alhamisi, akanikabidhi jimbo jumamosi na leo jumamosi namrudishia jimbo lake.
 
Naam anakaribishwa dogo janja Joshua Nassari, Anasema jembe karudishwa bungeni na bunge la January kutatifuka.
 
Nassari:

Ndugu zangu nawashukuru sana kwa ushirikiano mlionipa sasa jembe lenu limerudi ........ mapambano yanaendelea.
tutaipigania hii chama tutapigania haki mpaka kieleweke
 
Heche:
Chadema ina wanasheria lukuki ndiyo maana tumewashinda magamba kwenye mahakama za rufaa. ukiwa na mwanasheria kama Lema unawasiwasi gani
 
ImageUploadedByJamiiForums1356182398.265545.jpg

kilombero
 
31541_349340761831236_1227166294_n.jpg


Hii ndio hali halisi tukielekea uwanjani leo asante sana Arusha.

382036_349343078497671_1357885367_n.jpg

[h=5]Umati uwanjani ni mkubwa sana kabla ya mkutano kuanza. (picha kwa hisani ya John Heche)[/h]
 
mmh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kweli Lema ndoyo kila kitu Arusha Mjini kama hali yenyewe ndo hiko hivi. MUNGU AMJALIE UTUMISHI ULIO TUKUKA KWA MUDA WOTE ULIOBAKI MPAKA 2015.
 
Back
Top Bottom