PICHA: Mapokezi ya Godbless Lema jijini Arusha - Disemba 22, 2012

PICHA: Mapokezi ya Godbless Lema jijini Arusha - Disemba 22, 2012

31541_349340761831236_1227166294_n.jpg

Hii ndio hali halisi tukielekea uwanjani leo asante sana Arusha.

382036_349343078497671_1357885367_n.jpg

[h=5]Umati uwanjani ni mkubwa sana kabla ya mkutano kuanza. (picha kwa hisani ya John Heche)[/h]

Lema yupo kwenye mioyo ya Wana-Arusha kwelikweli, kwani ili liko dhahiri kwa umati huu.
 
Heche:
Arusha ni kitovu cha chadema Arusha ni kitovu cha mabadiliko!
Hatutakubali kuipoteza Arusha ambayo ni tumaini la watanzania.
Lowassa anashangaa kwanini Arusha chadema bado ipo!
Nami nashangaa kwanini Lowassa anatembea hadharani wakati ni mwizi na fisadi na alitakiwa kuwa magereza!
Nitoe nafasi hii kutoa wito kwa serikali kuwa chadema inataka uchaguzi wa madiwani wa Arusha uitishwe mara moja.
la sivyo, wao wana polisi na sisi tuna wananchi tuone kama watakabiliana na umati wa wananchi kama hawa.
madiwani tuliowatimua hatutawaacha hivihiv, watatulipa milioni 15, tayari wameshalipa milioni mbili na laki tano.
wasipomaliza ni tutawafunga.

jambo lingine:
kuna mkakati umeanza tena wa pesa nyingi wa kumchafua Dr. Slaa kuanzia sasa mpaka 2015.
kuna redio zinaanzishwa kwa makusudi maalum, vijana wamenunuliwa ma laptop kwa ajili ya kumchafua Dr. Slaa.

Tunataka kuwaambia ccm kuwa Dr. Slaa ni chaguo la Mungu.

bahati mbaya sana wana mtu moja mropokaji ambaye ni Nape.
Nina wasiwasi na Nape kama ni mtoto wa Mzee Mosses Nauye, manake mzee Nauye alikuwa mwenye akili na hekima.
 
Leo bora boda boda na wao wajipatie ulaji. Sijui zimekodishwa ngapi kwa kazi hii.
Unafikiri ni CCM hii hapa watu wote ujitolea na kujitokeza kwa mapenzi yao na kwa gharama zao, Hapa ni furaha kwa kwenda mbele. kinakuuma!!!!!! utakoma na umbea na kupenda vinavyochukiwa na wengi.
 
Heche:
Arusha ni kitovu cha chadema Arusha ni kitovu cha mabadiliko!
Hatutakubali kuipoteza Arusha ambayo ni tumaini la watanzania.
Lowassa anashangaa kwanini Arusha chadema bado ipo!
Nami nashangaa kwanini Lowassa anatembea hadharani wakati ni mwizi na fisadi na alitakiwa kuwa magereza!
Nitoe nafasi hii kutoa wito kwa serikali kuwa chadema inataka uchaguzi wa madiwani wa Arusha uitishwe mara moja.
la sivyo, wao wana polisi na sisi tuna wananchi tuone kama watakabiliana na umati wa wananchi kama hawa.
madiwani tuliowatimua hatutawaacha hivihiv, watatulipa milioni 15, tayari wameshalipa milioni mbili na laki tano.
wasipomaliza ni tutawafunga.

jambo lingine:
kuna mkakati umeanza tena wa pesa nyingi wa kumchafua Dr. Slaa kuanzia sasa mpaka 2015.
kuna redio zinaanzishwa kwa makusudi maalum, vijana wamenunuliwa ma laptop kwa ajili ya kumchafua Dr. Slaa.

Tunataka kuwaambia ccm kuwa Dr. Slaa ni chaguo la Mungu.

bahati mbaya sana wana mtu moja mropokaji ambaye ni Nape.
Nina wasiwasi na Nape kama ni mtoto wa Mzee Mosses Nauye, manake mzee Nauye alikuwa mwenye akili na hekima.

Safi sana heche
 
Leo bora boda boda na wao wajipatie ulaji. Sijui zimekodishwa ngapi kwa kazi hii.
Unafikiri ni CCM hii hapa watu wote ujitolea na kujitokeza kwa mapenzi yao na kwa gharama zao, Hapa ni furaha kwa kwenda mbela. kinakuuma!!!!!! utakoma na umbea na kupenda vinavyochukiwa na wengi.
 
Jamani kuna taarifa gani mpya ya kinachoendelea huko AR? Tunaomba mtujuze hata picha kidogo ili akina RITZ na LE Mutuz na wapambe wao wapate majibu.
 
Lema yupo kwenye mioyo ya Wana-Arusha kwelikweli, kwani ili liko dhahiri kwa umati huu.
Naona wazi kabisa CCM na ubishi wao wanaachia nchi! Yaani haiwezekani watumishi wa nchi waitwe mbayuwayu! Hata jambazi huwa halifi kirahisi! Daaah! CCM ndio inatapatapa ikiwa ni ishara ya kuaga Tanzania.....i.e inakata roho
 
Eeee...Mungu wa Mbingu na Nchi wajalie wenzetu wa AR town ulinzi wako imara dhidi ya PoliCCM a.k.a jamaa wa vitu vya nchi kali na watalaam wa taarifa za kiintelijensia! Amani itawale na upendo udumu. Sisi sote ni dugu moja uwe CCM au CDM! Amen...😱hwell:
 
ee ndo starehe ya wanamume huku hakuna wali maharage
Ndo starehe ya vijana wa chadema,manake ni viroba na ganja kuanzia sasa hv mpaka wanasahau siku ya uchaguzi ni lini,wanaanza kuandamana baada ya matokeo kutangazwa na kutishia kuingia msituni.,,,,na haohao wanaoleta migogoro kwenye chama.
 
Jamani kuna taarifa gani mpya ya kinachoendelea huko AR? Tunaomba mtujuze hata picha kidogo ili akina RITZ na LE Mutuz na wapambe wao wapate majibu.

ingia MJENGWA blog afu uzipaste hizo picha zake maana zimetokelezea
 
siasa za bongo ni pasua kichwa,hakuna ustaarabu hapa.tutaishia kuwa masikini kwani nchi kama marekani,ghana,kenya, rwanda n.k hawafanyi siasa za kitoto km hizi.tunapoteza muda mwingi sana kwenye siasa kuliko kutimiza wajibu kwa wapiga kura na walipa kodi.Kila aliyepewa dhamana na atimize wajibu wake.Tusigeuze Tanzania kuwa nchi ya malumbano ya kisisasa kila kukicha au ndio kusema mmepoteza ushawishi kwa wananchi na ndio wenye nchi.

Tuko kwenye krismasi wee vipi kila siku shamba tu hauna siku za kula mavuno yako? Kwanza mvua zenyewe hazipo, zana zenu za kilimo kwanza mmezikalia wenyewe, embu mtuwache tufurahie mavuno yetu ya Kamanda Lema Ebooo
 
CCM wanampenda sana Lema, yaani wamemtengenezea hela nzuri na kumpigia kampeni za 2015. Atasema tu jamani mambo yangefanyika tatizo hawa CCM walinikatiza ubunge wangu ndoo maana sikumalizia ahadi hivyo basi kwa kuwa Arusha ni yetu naomba rizaa yenu mpaka 2020 watu peoplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz. Lema na Chadema watapeta tu.
 
Lema:
ndugu zangu juzi nilikuwa muleba, nikapigiwa simu kuwa hukumu yangu ni tar 21. nikajiuliza mbona imekuwa ghafla.
nikamweleza katibu mkuu kuwa nimepata taarifa ya hukumu, katibu akamiambia naye amepata taarifa.
katibu akanimbia kwakuwa uko mbali we piga kazi tutakupokelea hukumu yako.
nikamwambia sawa.
Lakini mke wangu akaniambia amesoma kwenye mitandao ya jamii kuwa hukumu yako ni ijumaa unaenda? nikwambia mke wangu siendi kama ni mbaya au nzuri tutapokea tukiwa huku tunapiga kazi.
mke wangu akaniambia nenda kwa maana Mungu anakwenda kufuta machozi ya Arusha.
Nikamwuliza Tundu hiyo hukumu imekaaje?
Tundu akaniambia bana mi sipigi ramli we twende mahakamani.
Nikamwuliza Mawazo niliyekuwanaye Muleba aniambie mawazo yake...... Mawazo akaniambia bwana tupige kazi hukumu itukute huku. nikampigia mke wangu kuwa siendi. mke wangu akaniambia kwa hili naomba nisikilize nenda mahakamani.
Tulipokuwa mahakamani hukumu ikaanza kusomwa. Golugwa akanikonyeza, nami nikamkonyeza katibu mkuu, tundu naye akanikonyeza maana ngoma ilikuwa kwa chadema.
sasa kakake Tundu akawa ameshika kichwa.
mkanga na wenzake wakawa wanasikiliza tu hawajui kinachoendelea maana hata kiingereza hawajui. hata mary chatanda sidhani kama anajua neno ofcourse!
hukumu ikasomwa Lema nikawa mbunge.
sasa tumeshinda kesi hawa watu watalipa pesa.
Nyumba ya mkanga mteja wake tayari yupo hapa, nimemwambia anilipe advance kabisa.
Mahakamani wamesema wanatakiwa kulipa milioni mia tatu na hamsini....... hiyo si kweli kwasababu wamepiga haraka haraka!
Lengo la hawa jamaa kufungua kesi ilikuwa kuni frustrate ili nisifanye kazi.
watalipa pesa zote bila huruma!

ninarudi bungeni mtindo ni uleule...... nimeamua die or live
 
Back
Top Bottom