Picha: Mapokezi ya Dr. Slaa Kigoma! [PHOTOS ARE FAKE]

Picha: Mapokezi ya Dr. Slaa Kigoma! [PHOTOS ARE FAKE]

Status
Not open for further replies.
Hii yote ni Kigoma au ni sehemu mbili tofauti? Maana picha ya juu ana gwanda la mikono mifupi na chini gwanda la mikono mirefu!
 
Ama kwel ccm imekuwa na hofu chadema kutosambaratika na mwaka unaisha.
 
waliosema hakubaliki kigoma wako wapi?
kwa walioeneza chuki kuwa Zito kafukuzwa chama wameabika wenyewe
Kigoma wana msimamo hawayumbishwi na ujinga wa wachache
nimeishi nao nawajua sana,,siku moja tukitoka kasulu tukiwa na kigari chetu cha STK kumbe kulikuwa na msafara wa Zito kutoka airport kuelekea mwandigawakati alipofukuzwa bungeni,,,,
ilikua mshike mshike hatukujua ziara hiyo tukajikuta katikati ya msafara huo
mashabiki wa chadema walikivunja kioo cha gari wakidhani na sisi ni magamba kwani ndio walisababisha asiamishwe bungeni na kwa vile tulikuwa katika gari ya serikali na tumeingilia msafara wao.Polisi hawakuweza kuzuia zile ngumu za chadema
kwa busara chadema mkoa walilipa kile kioo,
kwa mnaokumbuka tukio hili ilikuwa 2007.
 
Mkuu asante kwa update hizi taarifa nilizitoa nkatukanwa sana na vijana wa chadema. Naomba coverage na picha, nipo mbali na mjini, ila tunarudi jioni na kesho tunarud dsm
 
huu ni uongo na uzushi uliotukuka, picha za mwaka 2010 wakati wa uchaguzi halafu jamani, tangu lini kakonko kuna lami?????? mnajiibiwa wenyewe
Nina uelewa mdogo sana na karibia nikubaliane na wewe lakini mwishoni nikashtuka kuwa namba za usajiri wa magari zinazosomeka T 8.. CJG zilikuwa hazijaanza kutumika.
Nitoe mashaka katika hilo ili nikuamini kuwa akili yako na wenzako sio za kushikiwa.

 
Hahahahaaaaaa utaifakwanza kwani Zitto anahusianaje na waha wengine wenye misimamo yao tofauti! acheni ukabila CCM!
 
Last edited by a moderator:
Dr. Hongera kwa ziara hiyo, tunaomba uje na huku kusini hasa mikoa ya ruvuma, lindi na njombe. Maccm hayatufai hata kidogo!
 
Mkuu asante kwa update hizi taarifa nilizitoa nkatukanwa sana na vijana wa chadema. Naomba coverage na picha, nipo mbali na mjini, ila tunarudi jioni na kesho tunarud dsm
Mwaka huu utakufa kwa presha ........Tuntemeke aweke hata ka picha ka moja ka mchina la sivyo huu ni umbeya kama ule wa jana na ameshaumbuka tayari kwa picha za MAPOKEZI .......aibu yenu mwaka huu..
 
Hilo nyomi ni hatareeeeee, Asante Mungu....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom