Picha: Mapokezi ya Dr. Slaa Kigoma! [PHOTOS ARE FAKE]

Picha: Mapokezi ya Dr. Slaa Kigoma! [PHOTOS ARE FAKE]

Status
Not open for further replies.

qq.com

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2012
Posts
367
Reaction score
123
Mapokezi+ya+Slaa+2.JPG
Slaa+mapokezi.JPG

Nyingine zitafuata na zitaingizwa na Tumaini Makene au Molemo au Kurugenzi ya Habari Chadema

=======
chadema acheni uongo, hizi ni picha za karatu 2010, wakati slaa akienda kukabidhiwa fomu za kugombea urais. CHEKI HIYO LINK HAPO CHINI!!!!!

Dk. Slaa akabidhiwa fomu, mapokezi Karatu yatia fora! - wavuti.com

cc: ZeMarcopolo , Ritz , sixgates , CHAMVIGA ....
 
Last edited by a moderator:
Nipo Live Muda huu hapa kakonko Kigoma kwenye Viwanja Vya Bunge(Wakazi wa hapa ndio wanaita hivyo).Maandamano ni makubwa sana,Ambapo Dr.slaa anategema kufanya Mkutano hapa Jioni ya leo.

Lakini hali si shwari kabisa kutokana na watu kuanza kuongezeka wakiwa na matawi ya miti kwenye viwanja hivi vya Bunge.

Nyimbo ambayo inaimbwa na haikatini ni kwamba "Tunamtaka Zitto wetu",Gari ya M4C ya Pickup ipo hapa ikiwa na watu watatu ndani ikizunguka na kutishia watu kuwa Tutawakamata,Tutawapeleka gerezani,tutawaua,Ondokeni kwenye eneo la Mkutano.

Cha kushukuru ni kwamba Polisi wapo na wamejipanga kukabiriana na Uvunjifu wowote wa Amani.
Gari linatangaza kuwa Dr.slaa anafika hapa baada ya dakika 10

MORE UPDATES TO COME,
Mods na Uongozi wa jf naomba msichanganye Uzi huu na mwingine ni tukio la Kihistoria linakwenda kutokea hapa kakonko,Ni muhimu watanzania wapate live Updates hapa.

 
Tumewashika, Tumewakamata!!! -- Dr. huna mpinzani kwa sasa!!
 
huu ni uongo na uzushi uliotukuka, picha za mwaka 2010 wakati wa uchaguzi halafu jamani, tangu lini kakonko kuna lami?????? mnajiibiwa wenyewe
 
Halafu mtu aje aseme eti mgogoro alioanzisha Zitto umepunguza nguvu za CDM. Hizo kelele za book 7 hapa jamvini hazina side effect zozote kwa wananchi walioko vijijini. Nenda mkatimize ilani yenu ya uchaguzi sio kushinda hapa jamvini kubandika matamko yasiyo na kichwa wala miguu. Hebu angalia hayo mapokezi, utafikiri Dr. Slaa ni Rais wa nchi. Inatia sana moyo.

Tiba
 
Haya Wale Wambeya waje na huku , umbeya hauna posho...
 
popooooooooooooozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz bawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
 
!
!
kuna mtu kama nilisoma post yake humu leo anakwenda kwa jina la tuntemeke sasa sasaaaaaaa
:A S-confused1:
 
kuna tofauti kubwa sana kati ya siasa za mitandaoni na siasa za field
 
Ila unahangaika! au ni special aassignment uliyopewa na Zitto. Kazi njema!
 
zito ni mbaya lakini waha ni wazuri kweli akutukanaye hakuchagulii tusi
 
huu ni uongo na uzushi uliotukuka, picha za mwaka 2010 wakati wa uchaguzi halafu jamani, tangu lini kakonko kuna lami?????? mnajiibiwa wenyewe
Hujaenda Kigoma muda mrefu inaonyesha, Kumbuka hata kale kawimbo ...Kigoma ya sasa sio ile ya zamani.....leka ......
 
Dr Slaa anamhofu Mungu wa Mbinguni peke yake. Na hawezi kudhulumu haki ya Watz kama baadhi ya viongozi uchwara wanaojiita wao ni CDM damu wanavyotufanyia Watz tusio na hatia yoyote. Malipo yao ni hapa hapa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom