Yametimia,mkutano wa dr. Slaa wakwama Kahama,wananchi wasusia mapokezi na mkutano


Status
Not open for further replies.
TUNTEMEKE

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2009
Messages
4,585
Likes
75
Points
145
TUNTEMEKE

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2009
4,585 75 145
Taarifa kutoka chanzo cha uhakika pale kahama ni kwamba,Mkutano wa Dr.slaa umekwama kufanyika,Licha ya maombi ya jitihada za maofisa wa chadema kuwabembeleza wananchadema na wananchi kuhudhuria mkutano huo.

Hadi nakuja hapa ni saa 11 na dakika 50 hali ni tete hapa Viwanja vya Kahama ,Wananchi wanaendelea na kazi zao huku vijiwe kadhaa vikiongezeka kuzungumzia sintofahamu hiyo./


Ikumbukwe Dr.slaa alionywa hapo awali kutokufika kwenye hiyo Mikutano yake hiyo kutokana na Utendaji wake Mbovu,Fitina anazofanya zidi ya kiongozi mwenzake Zitto kabwe na mwenendo mzima wa chama chake.
Sasa,Leo hii ikiwa ndio kwanza Ziara yake imeanza,mapoekezi hayakuwepo kabisa as if anayepita ni raia tu wa kawaida na sio yule Dr.slaaa wa Mwaka 2010
.

Narejea kwenu hivi punde kuwajuza nini hatma yake .

OMBI KWA WAANDISHI WA HABARI
Magazeti,Redio na Televison,Mnaweza kumtafuta Tumaini makene waeleze sababu za kukwa kwa mkutano huo,Au tumieni vyanzo vyenu vya habari pale kahama kujua namna Dr.slaa alivyodhalilika kwa kukosa mapokezi na kutofanyika kwa mkutano wake.


UPDATES::
Eneo la Mkutano kuna watu wachache sana,Asilimia kubwa wamejipanga kumzomea kwa namna ambavyo maneno na vijiwe vidogovidogo vya makundi wanavyozungumza.
Dr.slaa yupo eneo la karibu na Mkutano ambapo maofisa wa chadema wanajipanga kumpandisha,Lakini muda wa Mkutano kisheria umefika mwisho ambapo mkutano wa siasa hauruhusiwi kufika saa 12 na dakika 20.
Nitaendelea kupwa Updates hapahapa


UPDATES

Samahani nimechelewa kuwaletea Updates,Dr.slaa amejikaza kiume kusogea kwenye Mkutano akiwa ameongozana na Redbrigade wasiopungua 10,Huku wanachadema wakiwa na Mabango yakisomeka "ZITTO KWANZA,CHADEMA KASKAZINI BAADAE" na Mengine yanasomea"CHADEMA INATUPELEKA WAPI?MBOWE JITOKEZE"
Baada ya kupanda jukwaani,Dr.slaa alizomewa na Wananchi huku wengi wakiimba nyimbo za "Hatutaki kuonewa,Chma chetu,Uchaga wenu"
Hali iliyopelekea dr.slaa kushindwa kuzungumza na wanancchi wa kahama hapa,Nashukuru kwa namna Maofisa wa Usalama wa Jeshi la Polisi na wachadema kwa namna walivyoweza kuzuia Wnanacchi wasimzuru Slaa na akapata nafasi ya Kusalimia tu.

Mkutano kwa kweli haijawahi tokea hapa Kahama ambapo kuna wananchi wengi kama Kariakoo wanaojihusisha na shughuli za Madini,lakini wako bize na kazi zao na kaucha Slaa aishie kusalimia tu bila
kufanya Mkutano aliotegemea kuufanya toka anatoka Dsm"

MODS,Naomba sana muwe makini na Picha za uongo za Mikutano ya chadema ya siku za nyuma Kutumika kuhadaa watanzania kuwa eti ni Mkutano wa Slaa leo hapa Kahama,Tuna wajua akina Makene na Ben walivyowaongo kwa kupandikiza Picha za mikutano ya Nyuma.Otherwise Leo hapa Kahama hakuna picha ambayo unaweza kup
iga ukaweka mbele za watu na kusema ni mkutano wa chama cha siasa.

SUMMRY,MWISHO HALI HALISI NA SIKU YA MKUTANO NYINGINE

Dr.slaa amefika hapa Kahama saa 11na nusu,na amepokelewa na bodaboda 5 ambazo walichangiwa sh.5000 kutoka kwa viongozi kadhaa walioambatana na Dr.slaa,hapo awali Vijana wa chadema walionekana wakizunguka maeneo ya kahama stendi kuomba madreva Bodaboda wahudhurie mapokezi ya Dr.slaa lakini hali haikuwa nzuri kwani asilimia 90 ya madreva waligoma kuifanya hivyo.Wakati akielekea eneo la Mkutano Dr.slaa alipokelewa na mabango yanayosema"CHADEMA BILA ZITTO HAIWEZEKANI,TUACHIENI CHAMA CHETU,ENDELEENI NA UBAGUZI WENU",Baada ya kupanda jukwaani Slaa alipokelewa na Mawe,na matusi ya kejeli sana kutoka kwa Wananchi wachache waliokuwepo eneo la Mkutano.
Dr.slaa aliomba Vijana wake wa usalama watulize ghasia za wananchi,kisha akazungumza maneno machache tu kwa kusema Naomba maswala ya Zitto mtuachie sisi tutayamaliza,Mkutano nauahirisha hadi Jumapili jioni hapahapa Kahama.Kwahiyo Mkutano Kahama hadi Jumapili.

UPDATE

Huu ndiyo mkutano wa Dkt. Slaa leo Kahama mjini ambao umeanza majira ya saa 12.15 jioni ambapo watu wamekuwepo uwanjani tangu saa 8 mchana kama walivyotangaziwa.


Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilibrod Slaa akiwahutubia wanachi wa mji wa Kamaha na vitongoji vyake, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kukagua na kuimarisja uhai wa chama katika mikoa ya Shinyanga, Kigoma, Tabora na Singida, uliofanyika kwenye Uwanja wa CDT mjini Kahama jana. (Picha na Joseph Senga)


Katibu Kuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (chadema), Dk. Willibrod Slaa akiagana na wananchi wa mji wa Kahama baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa CDT mjini huo jana, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kuimarisha uhai wa chama katika mikoa ya Shinyanga, Tabora, Kigoma na Singida. (Picha na Joseph Senga)

ANGALIZO MUHIMU SANA KUHUSU PICHA ZA CHADEMA,

Hawa jamaa wa CHADEMA wameweka picha fake. Just download those pics, save them, and go to PROPERTIES. Utaona kwamba zile picha ni za tarehe 23 Nov mwaka 2011. Inaonekana pia wamejaribu kuedit kwa kutumia PHOTOSHOP ila wameshindwa. Itakuonyesha pale. Bahati nzuri sana kwenye JPG FORMAT ya picha unaweza kuedit vyoooooooote isipokuwa tu tarehe na saa ambapo picha ilipigwa!!
Jamiiforum inawatu wa IT naomba mliangalie hilio,Mkutano wa Slaa haukuwa hivi jana,ni Ulaghai kwa watu

Narudia tena Save Picha hiyo hapo juu kwenye COMPUTER yako then Right Click upate Option ya kuangalia Properties,Nenda kwenye DETAILS Utapata Muda wa PICHA ILIPOCHUKILIWA(TAREHE 23 MWAKA 2011 MWEZI 11) Itakuletea aina ya Camera iliyochukua (NIKON model D7000) 
bily

bily

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Messages
8,052
Likes
4,113
Points
280
bily

bily

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2012
8,052 4,113 280
Weka vithibitisho usilete uongo hapa.
 
Wa Kwilondo

Wa Kwilondo

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2007
Messages
1,083
Likes
137
Points
160
Wa Kwilondo

Wa Kwilondo

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2007
1,083 137 160
tuntemeke id ha ha ha ha! vipi matamko mbona yamesimama au mna edit upya baada ya mwanzo kufanana!
 
OLESAIDIMU

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Messages
19,176
Likes
223
Points
160
OLESAIDIMU

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2011
19,176 223 160
Waliopo huko kama umefanyika na umefana wekeni ukweli!!!!!
 
tindikalikali

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Messages
4,876
Likes
107
Points
135
tindikalikali

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2011
4,876 107 135
Taarifa kutoka chanzo cha uhakika pale kahama ni kwamba,Mkutano wa Dr.slaa umekwama kufanyika,Licha ya maombi ya jitihada za maofisa wa chadema kuwabembeleza wananchadema na wananchi kuhudhuria mkutano huo.
Hadi nakuja hapa ni saa 11 na dakika 50 hali ni tete hapa Viwanja vya Kahama ,Wananchi wanaendelea na kazi zao huku vijiwe kadhaa vikiongezeka kuzungumzia sintofahamu hiyo./
Narejea kwenu hivi punde kuwajuza nini hatma.
chanzo cha kuaminika ndiyo nini? Acha parakatatumba za magamba wewe!!
 
MKURABITA

MKURABITA

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Messages
311
Likes
10
Points
35
MKURABITA

MKURABITA

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2010
311 10 35
Halafu we jamaa inaonesha wewe ndo mratibu wa haya matamko wa wanaojiita wanachadema, maana mara nyingi wewe ndo huwa unayaleta kwenye jukwaa. Na hata kwenye hii post umejichanganya, mara chanzo chako kimekwambia, lakini inaonesha uko eneo la tukio wewe mwenyewe.
 
T

Tiger One

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Messages
569
Likes
26
Points
45
T

Tiger One

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2012
569 26 45
Taarifa kutoka chanzo cha uhakika pale kahama ni kwamba,Mkutano wa Dr.slaa umekwama kufanyika,Licha ya maombi ya jitihada za maofisa wa chadema kuwabembeleza wananchadema na wananchi kuhudhuria mkutano huo.
Hadi nakuja hapa ni saa 11 na dakika 50 hali ni tete hapa Viwanja vya Kahama ,Wananchi wanaendelea na kazi zao huku vijiwe kadhaa vikiongezeka kuzungumzia sintofahamu hiyo./
Narejea kwenu hivi punde kuwajuza nini hatma.
We Tuntemeke tangu ufukuzwe uongozi ndani ya chama umekuwa kama taahira kwani unazua na kupost pasipo hata haya. Juzi ulitambia kamanda Kigaila yuko hatarini Kigoma wakati unajua dhahili ni uongo. Njaa inakupeleka pabaya ndg yangu heshimu utu wako sio kutumika tu.
 
Victoire

Victoire

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2008
Messages
10,817
Likes
8,546
Points
280
Victoire

Victoire

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2008
10,817 8,546 280
lete picha,halafu wewe jana umejiaibisha sana na ile thread yako ya Rev Msigwa
 
frema120

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Messages
5,102
Likes
35
Points
135
frema120

frema120

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2012
5,102 35 135
naomba hapa ndio hiwe mwanzo wa kuchangia upuuzi huu, sijui kwani wanaendelea kuzui mafuriko kwa kijiko
 
Henge

Henge

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2009
Messages
6,871
Likes
155
Points
160
Henge

Henge

JF-Expert Member
Joined May 14, 2009
6,871 155 160
tuntemeke naona matatizo yako bado yanaendelea wewe na chadema mpaka ukiue kabisa TATIZO UMESAHAU ALICHOKIPANGA MUNGU WEWE TUNTE NINANI MPAKA UKIZUIE?
 
MAPUMA MIYOGA

MAPUMA MIYOGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2013
Messages
3,405
Likes
1,618
Points
280
MAPUMA MIYOGA

MAPUMA MIYOGA

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2013
3,405 1,618 280
Wale wale wa matamko ya mwanza, mara kigoma mara tabora huku mkijua nyie ni magamba.
Mods, kuna haja ya kuanza ku-delete post zingine maana hazina akili hata kidogo hata kama tunalinda uhuru wa mtu mmoja mmoja.
 
S

Shomy . I

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2011
Messages
362
Likes
162
Points
60
S

Shomy . I

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2011
362 162 60
'TUNTEMEKE'
Hili jina nimelikuta huku makete na nimeambiwa ni jina la mbunge wa zamani wa huku kwa sasa ni marehemu!
Kilichonishangaza ni kwamaa aliambiwa na J.K. NYERERE asitoke nje ya makete!
 
K

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2013
Messages
835
Likes
2
Points
0
Age
26
K

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2013
835 2 0
UONGO MTUPU, TENA MPUUZI KABISA HUYU TUNTEMEKE: Mimi nipo Kahama... Mkutano Unaendelea Mpaka hivi sasa 2po Mkutanoni, Wafuasi, Wanachama, Wakereketwa na Viongozi takribani Elfu Moja na Mia tano Wamefurika katika Uwanja huu!
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
55,660
Likes
48,572
Points
280
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
55,660 48,572 280
id hii inatumiwa na kijiji , wewe ni yupi sasa ? Ni kati ya id ' s zisizoaminika kabisa hapa jf .
 
J

juspen

Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
24
Likes
1
Points
0
J

juspen

Member
Joined Dec 20, 2012
24 1 0
Tuntemeke, Mimi nipo Kahama ndio kwanza Msafara umeingia na una watu wengi sana .Kwa hivi sasa watu wa mwisho wapo Rocken hill na waliotangulia kwa maana ya wageni Dr na walioambatana nae wako NBC zamani....watu ni wengi sana na Mji wa Kahama Umezizima ile mbaya.....nyimbo za chadema , na vifijo ni vingi.
 
TUNTEMEKE

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2009
Messages
4,585
Likes
75
Points
145
TUNTEMEKE

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2009
4,585 75 145
Tuntemeke, Mimi nipo Kahama ndio kwanza Msafara umeingia na una watu wengi sana .Kwa hivi sasa watu wa mwisho wapo Rocken hill na waliotangulia kwa maana ya wageni Dr na walioambatana nae wako NBC zamani....watu ni wengi sana na Mji wa Kahama Umezizima ile mbaya.....nyimbo za chadema , na vifijo ni vingi.
Naomba Picha mkuu,naona unaleta ndoto za alinacha hapa
 
K

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2013
Messages
835
Likes
2
Points
0
Age
26
K

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2013
835 2 0
DR. SLAA ANAENDELEA KUWACHANA MAGAMBA NA MAPANDIZI YALIYOMO NDANI YA CHADEMA: M4C nomaa, lazima Watu Wabaki hapa nimeamini Makamanda!
 
M

m4cjb

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2012
Messages
6,904
Likes
356
Points
180
Age
34
M

m4cjb

JF-Expert Member
Joined Jul 23, 2012
6,904 356 180
Huna jipya mara chanzo chako cha uhakika kimekutonya mara wewe mwenyewe unaenda eneo la tukio,nyambafu nyang'au wewe!
 
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Messages
25,222
Likes
23,694
Points
280
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2011
25,222 23,694 280
Tuntemeke, Mimi nipo Kahama ndio kwanza Msafara umeingia na una watu wengi sana .Kwa hivi sasa watu wa mwisho wapo Rocken hill na waliotangulia kwa maana ya wageni Dr na walioambatana nae wako NBC zamani....watu ni wengi sana na Mji wa Kahama Umezizima ile mbaya.....nyimbo za chadema , na vifijo ni vingi.
mpe picha huyo pimbi
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,252,293
Members 482,061
Posts 29,802,829