Picha: Mapokezi ya Dr. Slaa Kigoma! [PHOTOS ARE FAKE]

Picha: Mapokezi ya Dr. Slaa Kigoma! [PHOTOS ARE FAKE]

Status
Not open for further replies.
mapokezi+ya+slaa+2.jpg
slaa+mapokezi.jpg

nyingine zitafuata na zitaingizwa na tumaini makene au molemo au kurugenzi ya habari chadema

picha mbili tofauti za mwaka juzi leo mnazileta hapa,huoni kwingine anashsati mikono mirefu kwingine mifupi
 
Nipo Live Muda huu hapa kakonko Kigoma kwenye Viwanja Vya Bunge(Wakazi wa hapa ndio wanaita hivyo).Maandamano ni makubwa sana,Ambapo Dr.slaa anategema kufanya Mkutano hapa Jioni ya leo.
Lakini hali si shwari kabisa kutokana na watu kuanza kuongezeka wakiwa na matawi ya miti kwenye viwanja hivi vya Bunge.
Nyimbo ambayo inaimbwa na haikatini ni kwamba "Tunamtaka Zitto wetu",Gari ya M4C ya Pickup ipo hapa ikiwa na watu watatu ndani ikizunguka na kutishia watu kuwa Tutawakamata,Tutawapeleka gerezani,tutawaua,Ondokeni kwenye eneo la Mkutano.
Cha kushukuru ni kwamba Polisi wapo na wamejipanga kukabiriana na Uvunjifu wowote wa Amani.
Gari linatangaza kuwa Dr.slaa anafika hapa baada ya dakika 10

MORE UPDATES TO COME,
Mods na Uongozi wa jf naomba msichanganye Uzi huu na mwingine ni tukio la Kihistoria linakwenda kutokea hapa kakonko,Ni muhimu watanzania wapate live Updates hapa.

jana ulikuwa Kahama na leo uko Kakonko, uko kwenye msafara wa Dr. Slaa au! Hujamsia Dr. alivyojichanganya hadi kufikia kusema kuwa alijiuzuru uongozi tangu 2009 wakati Serena alikiri kuandika waraka!? Angalia,kazi ya usaliti ni ngumu duniani na mbinguni.
 
Nipo Live Muda huu hapa kakonko Kigoma kwenye Viwanja Vya Bunge(Wakazi wa hapa ndio wanaita hivyo).Maandamano ni makubwa sana,Ambapo Dr.slaa anategema kufanya Mkutano hapa Jioni ya leo.
Lakini hali si shwari kabisa kutokana na watu kuanza kuongezeka wakiwa na matawi ya miti kwenye viwanja hivi vya Bunge.
Nyimbo ambayo inaimbwa na haikatini ni kwamba "Tunamtaka Zitto wetu",Gari ya M4C ya Pickup ipo hapa ikiwa na watu watatu ndani ikizunguka na kutishia watu kuwa Tutawakamata,Tutawapeleka gerezani,tutawaua,Ondokeni kwenye eneo la Mkutano.
Cha kushukuru ni kwamba Polisi wapo na wamejipanga kukabiriana na Uvunjifu wowote wa Amani.
Gari linatangaza kuwa Dr.slaa anafika hapa baada ya dakika 10

MORE UPDATES TO COME,
Mods na Uongozi wa jf naomba msichanganye Uzi huu na mwingine ni tukio la Kihistoria linakwenda kutokea hapa kakonko,Ni muhimu watanzania wapate live Updates hapa.


Tayari ushakuwa fixed now!!!upo lumumba then unasema live kutoka kigoma!!!mtarijua jiji mwaka huu.
 
Halafu mtu aje aseme eti mgogoro alioanzisha Zitto umepunguza nguvu za CDM. Hizo kelele za book 7 hapa jamvini hazina side effect zozote kwa wananchi walioko vijijini. Nenda mkatimize ilani yenu ya uchaguzi sio kushinda hapa jamvini kubandika matamko yasiyo na kichwa wala miguu. Hebu angalia hayo mapokezi, utafikiri Dr. Slaa ni Rais wa nchi. Inatia sana moyo.

Tiba

Dr Slaa ni mtu mjanja kuliko mwanasiasa yoyote. Nadhani ana kitu cha pekee kabisa. Kule ambako sisi tunadhani hakuna usalama kwamba wabaya watamdhuru maana hao wabaya wanadhani kule ni kwao kumbe sivyo, yeye anayejiita wa huko kumbe kwao ni Dar maana anaishi na Wazazi na kuoa ameahirisha hadi wakati wa uchaguzi 2015.

Sasa cheki uone, kule ambako tunadhani kuwa hali ya usalama wa Dr Slaa si nzuri ndio Dr Slaa anakwenda huko huko ili kuwafuata jikoni. Kumbuka ni juzi tu wamempukutisha vyeo watu na leo yuko huko kwao. Sasa ni nani kama Dr Slaa. Hakuna kabisa. Mungu azidi kumlinda ktk safari yakutukomboa kutoka utumwa wa CCM maana CCM tayari imeshaiingilia CDM kwa kutumia Zito na kundi lake na Mungu wetu atawaadhibu kwa dhambi hii.
 
hizi sijui za mwaka gani?halafu wamechakachua vibaya ona hapa
SHATI MIKONO MIFUPI,
Mapokezi+ya+Slaa+2.JPG


HALAFU ANGALIA HAPA MIKONO MIREFU---BADO TU MISUKULE MACHALII WA ARACHUGA HAMJASHTUKA??MAZUZU

Slaa+mapokezi.JPG


Kweli wajinga ndo waliwao,yaani hapa ndo nimeamini kabisa hadi za jana ni za kuchakachua,aibu sana hii yaani HADI SIE AMBAO TUNATOA SADAKA ZETU TUNAWACHANGIENI MNATUDANGANYA?MNATUFANYA MISUKULE?
 
halafu mtu aje aseme eti mgogoro alioanzisha zitto umepunguza nguvu za cdm. Hizo kelele za book 7 hapa jamvini hazina side effect zozote kwa wananchi walioko vijijini. Nenda mkatimize ilani yenu ya uchaguzi sio kushinda hapa jamvini kubandika matamko yasiyo na kichwa wala miguu. Hebu angalia hayo mapokezi, utafikiri dr. Slaa ni rais wa nchi. Inatia sana moyo.

Tiba
tumia akili hizo ni picha za 2010,kakonko hakuna lami,na hata sina uhakika kama nizakigoma kwa mimi nmezaliwa huko hilo eneo siwazi,anayejua aseme ni wap hapo
 
Nipo Live Muda huu hapa kakonko Kigoma kwenye Viwanja Vya Bunge(Wakazi wa hapa ndio wanaita hivyo).Maandamano ni makubwa sana,Ambapo Dr.slaa anategema kufanya Mkutano hapa Jioni ya leo.
Lakini hali si shwari kabisa kutokana na watu kuanza kuongezeka wakiwa na matawi ya miti kwenye viwanja hivi vya Bunge.
Nyimbo ambayo inaimbwa na haikatini ni kwamba "Tunamtaka Zitto wetu",Gari ya M4C ya Pickup ipo hapa ikiwa na watu watatu ndani ikizunguka na kutishia watu kuwa Tutawakamata,Tutawapeleka gerezani,tutawaua,Ondokeni kwenye eneo la Mkutano.
Cha kushukuru ni kwamba Polisi wapo na wamejipanga kukabiriana na Uvunjifu wowote wa Amani.
Gari linatangaza kuwa Dr.slaa anafika hapa baada ya dakika 10

MORE UPDATES TO COME,
Mods na Uongozi wa jf naomba msichanganye Uzi huu na mwingine ni tukio la Kihistoria linakwenda kutokea hapa kakonko,Ni muhimu watanzania wapate live Updates hapa.


Tuntemeke aka from Masalia Group umekwenda huko wewe na Sixgates kuratibu Jambo flan lakini ni kuhakikishie tu kuwa mpango wenu utafeli............mbaya!
Hayo mnayoyafanya hayatawasaidia hata kidogo........ :A S 39:
 
mbona tuntemeke hizo picha za watu wako watatu hatuzioni
 
picha mbili tofauti za mwaka juzi leo mnazileta hapa,huoni kwingine anashsati mikono mirefu kwingine mifupi
Si umesema uko eneo la tukio ? Weka picha za hayo mabango na maandamano ili uaminike ....
 
hizi sijui za mwaka gani?

watu kwa uongo bana nashangaa watu humu ndani wanavyoshangilia

Picha ya kwanza kavaa shati la mikono mfupi Picha ya pili kavaa shati la mikono mirefu

am wondering people can not just spot those difference which are clearly seen
 
chadema iko juu mitandaoni lakini sio field

Sawa labda tupe tafiti ilo bora, kwa nini mnabadilisha katibu mkuu magambani mara kwa mara? CHADEMA wabunge 1995 ? 2000? 2005? na 2010? Ikiwa una 1 ukapata 1 nyingine sawa na 2, kwa hiyo sema idadi ya wabunge.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom