Slaa adharirishwa Kigoma Kaskazini jioni hii. Akimbia mkutano

Status
Not open for further replies.
M

mwenegoha

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Messages
205
Likes
2
Points
0
Age
31
M

mwenegoha

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2013
205 2 0
Wakuu,
Taarifa za uhakika kutoka kwa katibu wa JIMBO LA KIGOMA KASKAZINI CHADEMA ndugu RAMA RUAHA, ni kwamba Katibu mkuu wa CHADEMA Padri SLAA leo alikuwa afanye mikutano miwili katika vijiji viwili baada ya kukimbia NGOME KUU YA ZZK ''MWANDIGA'' na kukimbilia kuweka mikutano ifanyike kijiji cha NYARUBANDA na mwingine KIDAHWE.

Taarifa kamili ni kama ifuatavyo

(i). MKUTANO WA NYARUBANDA. - Itabidi PADRI SLAA aishukuru mvua iliyowatawanyisha wananchi wenye HASIRA walioanza kumshambulia SLAA kwa mabango, maneno makali na mawe, huku vijana wake wa REDBRIGED wakionyesha kuishiwa nguvu na kuomba msaada wa POLISI.

SLAA anayejidai kichwa ngumu leo ameishukuru mvua hiyo iliyositiri AIBU YAKE YA KARNE YA KUPOPOLEWA NA MAYAI VIZA NA MAWE.

(ii). MKUTANO WA KIDAHWE - Katika Hali ile ile ya WAHA WA KIGOMA kumchukia DOKTA SLAA kwa kuwafanya wendawazimu na kuwataka washerehekee MAZISHI YA KIJANA WAO, huku SLAA ILIMBIDI AINGIE MITINI.

NDIO, SLAA AMESHINDWA KUTOKEA MKUTANONI KIDAHWE BAADA YA KUAMBIWA KUWA WANANCHI WA ENEO HILO WANA HASIRA NA CHUKI KUBWA DHIDI YAKE, VIONGOZI WA CHADEMA KIDAHWE WALIKATAA HATA KUMUWEKEA MEZA YA KUSIMAMA KUHUTUBIA, GARI LA M4C LILILOONGOZANA NA VIBARAKA WAKE LILIAMBULIA MATUSI MAKUBWA NA MAWE MFULULIZO KISHA KUPEWA TAHADHARI KUWA MLETENI SLAA AONE CHA MTEMA KUNI.

KWA KIFUPI KABISA SLAA AMEUMBUKA KWA KUSHINDWA KUHUTUBIA JIMBONI KWA ZITTO KABWE,

WENYEWE WANASEMA ''slaa hawezi kutuulia mwanetu halafu anakuja kutuimbia NGOMA za kikweo tucheze, sisi sio wapuuzi''

namuomba MOLEMO, BEN SAA NANE, TUMAINI MAKENE, WAITARA NA WENGINEO WOTE WAJE HAPA KUBISHA AMA KUTHIBITISHA TOFAUTI''

UPDATES

Ili kufanikisha mkutano wa MWANGA CENTRE KESHO HAPA KIGOMA, SLAA amekutana na MAPADRI muda mfupi uliopita na kuwaomba awahamasishe waumini wao waje kwenye mkutano wa kesho ili wasipate AIBU,

vile vile mikutano imepunguzwa kutoka mikutano miwili kwa siku na kubaki na mkutano mmoja tu. hali ya babu ni mbaya sana kisiasa kigoma, anaishi kwa msaada wa policcm. kweli hujafa hujaumbika
Nilipotaarifiwa na watu kuwa kuna mtu mtu hapa kanitaja kwa jina anataka ufafanuzi wa kukanusha au kuthibitisha anachokisema, nilijua kuna jambo la muhimu kweli kweli, Ikanilazimu kuacha jambo muhimu kweli kweli kuangalia kuna nini!

Kumbe ni yale yale, kutoka kwa watu wale wale walioshindwa hata kusimamia wanachokisema. Wakisema hili muda huu, dakika chache zijazo wanabadilika na kusema kitu kingine.

Kwanza kabisa, hakuna kitu cha kukanusha wala kuthibitisha hapa. Tuna kazi ya kuweka kumbukumbu sawa dhidi ya upotoshaji wa watu waso haya kusema uongo wakiwa na macho makavu. Wasodhambi?

Katibu Mkuu Dkt. Slaa amefanya mkutano katika Kijiji cha Nyarubanda, Jimbo la Kigoma Kaskazini, wilayani Kigoma. Eneo hilo si mbali kutoka Kigoma mjini, maana msafara ulitumia takriban dakika 40 hivi kufika mahali hapo ambako alitakiwa kuhutubia mkutano wa kwanza.

Mkutano huo mimi mwenyewe nilikuwa nikitoa updates kwa baadhi ya watu waliokuw akaribu na internet hivyo wangesaidia kuwapatia taarifa za haraka wale wote ambao wangependezwa kufuatilia mkutano huo. Nilijua upotoshaji kama huu umeandaliwa.

Mkutano umekwenda vyema kabisa. Kama ni mkakati wa 'kutaka kuvuruga' labda leo uliandaliwa kwa njia ya maswali. Ambayo nayo hata hivyo ni Dkt. Slaa aliyewaalika wauliza maswali kama wapo. Hakukuwa na mabango wala kitu kingine chochote cha namna hiyo. Anayesema hivyo si aweke hizo picha za Nyarubanda zenye mabango.

Bahati mbaya sana kwa wapangaji mipango hao ni kwamba jipu lilimpata mtumbuaji na kipele kilipata mkunaji. Maswali yote yalijibiwa. Wananchi wakasikika wakishangilia. Wauliza maswali wapo walioridhika wapo ambao hawakuridhika.

Maswali yote yalikuwa yamejibiwa, hadi mvua kubwa ilipozidi kuongezeka.

Kulikuwa bado na wananchi waliotaka kuuliza maswali pale chini, baadhi wakashindwa kuvumilia wakakimbilia upenuni mwa nyumba zilizokuwa jirani na uwanja. Daktari mara ya kwanza akalazimika kuwauliza wananchi iwapo aendelee au mkutano ufungwe aondoke.

Wananchi waliokuwa pale mbele wakiwa na miamvuli na wengine hawana, waliokuwa wamekimbilia upenuni mwa nyumba, wote wakaitikia wakitaka Katibu Mkuu aendelee kuzungumza. Akaendelea. Mvua nayo ikaongezeka. Kadri mkutano unavyoendelea kasi ya mvua nayo halikadhalika. Kukawa hakuna jinsi isipokuwa kufunga mkutano ule.

Moja ya vitu vinavyonishangaza binafsi kabisa tangu suala hili lianze ni level ya unethical (hasa katika kusema uongo) inayooneshwa na watu ambao siku zote wanapenda kuonekana waadilifu wa kiwango cha mbinguni. Watu wanasema uongo bila haya yoyote kabisa.

Sisi tutaweka picha za Nyarubanda leo, nao wafanye hivyo basi kama wanaweza kuhalalisha uongo wao. Hatuna haja ya kusema tena kuwa Katibu Mkuu amepokelewa kwa bashasha kubwa kila mahali maana tumeshayasema sana hayo. Hatutaki kuwa kasuku.

Kwa sababu kazi hii haifanyiki kwa ajili ya kushindana na mtu. Labda kama kuna mtu anajaribu kushindana na taasisi kwa njia za hovyo kama hizi zinazoweza kuporomosha heshima ya mtu kwa dakika chache tu.

Mkutano wa Kidahwe umeahirishwa kwa sababu kama hiyo iliyokatisha mkutano wa Nyarubanda. Mvua ilikuwa kubwa mno na hivi sasa ninavyoandika hapa, mtu yeyote aliyeko Kigoma anaweza kuthibitisha mvua inanyesha.

Ni watu walioishiwa. Wanatapatapa kama alivyokuwa yule propagandist wa Saddam Hussein aliyekuwa na kazi ya kusema kuwa 'wakivuka tu mstari mwekundu wamekwisha," leo kila mtu anajua nini kilitokea.

Walianza kwa kutaka kuonesha kuwa hali ya usalama si shwari, wakashindwa. Wakaja na gia ya mabango yakiwa yamebebwa na vijana walevi, wahuni, wengine wamekodiwa CCM eti wanampenda Zitto Kabwe, ikapanguliwa.

Baada ya kuona mkakati wa mabango unawageuka, wakaja na mbinu za kurushia mawe wananchi wanaosikiliza mikutano na askari polisi (Kasulu), wakidhani watu wangerudi nyuma, umekwama. Wakatoa vitisho vya kutaka kumuua Katibu Mkuu akiingia Kigoma (akivuka mstari mwekundu tu amekwisha), jana wakaumbuka walipoona mapokezi ya kutisha.

Bado wanasubiri karata ya majambazi waliyokodi kutoka Mwanza. Watapambana na Mwenyezi Mungu katika harakati zao za kutaka kudhuru mwili na kutoa roho za watu. Kesho ni Kigoma mjini. Wameshindwa hata kabla ya mechi na uongo wao huu ni dalili ya kushindwa tayari.
View attachment 125914
Pichani, Katibu Mkuu baada ya kuwasili Nyarubanda na kupokelewa kwa nderemo na vificho...

Picha nyingine hii hapa, Dkt. Slaa akiendelea kuhutubia. Unaweza kuona namna ukungu ulivyokuwa umetanda na wingu zito likiashiria mvua kubwa ambayo baadae ilinyesha lakini watu wakaweza kuvumilia kumsikiliza kiongozi wao.

Lakini uongo huu unaonesha kitu kimoja muhimu ambacho watunga uongo hawajui. Kusema uongo wa wazi namna hii ni kukiri kimoyomoyo uwepo wa hali unayojaribu kuikanusha. Hivyo namna nzuri ya wanaosoma uongo huu kuwaelewa ni kutafsiri kinyume cha kile mnachoandika au kusema hapa na kwingine.

View attachment 125912
 
palalisote

palalisote

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2010
Messages
8,348
Likes
57
Points
0
palalisote

palalisote

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2010
8,348 57 0
Wakuu,
Taarifa za uhakika kutoka kwa katibu wa JIMBO LA KIGOMA KASKAZINI CHADEMA ndugu RAMA RUAHA, ni kwamba Katibu mkuu wa CHADEMA Padri SLAA leo alikuwa afanye mikutano miwili katika vijiji viwili baada ya kukimbia NGOME KUU YA ZZK ''MWANDIGA'' na kukimbilia kuweka mikutano ifanyike kijiji cha NYARUBANDA na mwingine KIDAHWE.

Taarifa kamili ni kama ifuatavyo

(i). MKUTANO WA NYARUBANDA. - Itabidi PADRI SLAA aishukuru mvua iliyowatawanyisha wananchi wenye HASIRA walioanza kumshambulia SLAA kwa mabango, maneno makali na mawe, huku vijana wake wa REDBRIGED wakionyesha kuishiwa nguvu na kuomba msaada wa POLISI.

SLAA anayejidai kichwa ngumu leo ameishukuru mvua hiyo iliyositiri AIBU YAKE YA KARNE YA KUPOPOLEWA NA MAYAI VIZA NA MAWE.

(ii). MKUTANO WA KIDAHWE - Katika Hali ile ile ya WAHA WA KIGOMA kumchukia DOKTA SLAA kwa kuwafanya wendawazimu na kuwataka washerehekee MAZISHI YA KIJANA WAO, huku SLAA ILIMBIDI AINGIE MITINI.

NDIO, SLAA AMESHINDWA KUTOKEA MKUTANONI KIDAHWE BAADA YA KUAMBIWA KUWA WANANCHI WA ENEO HILO WANA HASIRA NA CHUKI KUBWA DHIDI YAKE, VIONGOZI WA CHADEMA KIDAHWE WALIKATAA HATA KUMUWEKEA MEZA YA KUSIMAMA KUHUTUBIA, GARI LA M4C LILILOONGOZANA NA VIBARAKA WAKE LILIAMBULIA MATUSI MAKUBWA NA MAWE MFULULIZO KISHA KUPEWA TAHADHARI KUWA MLETENI SLAA AONE CHA MTEMA KUNI.

KWA KIFUPI KABISA SLAA AMEUMBUKA KWA KUSHINDWA KUHUTUBIA JIMBONI KWA ZITTO KABWE,

WENYEWE WANASEMA ''slaa hawezi kutuulia mwanetu halafu anakuja kutuimbia NGOMA za kikweo tucheze, sisi sio wapuuzi''

namuomba MOLEMO, BEN SAA NANE, TUMAINI MAKENE, WAITARA NA WENGINEO WOTE WAJE HAPA KUBISHA AMA KUTHIBITISHA TOFAUTI''
picha wapi au umbea umbea tu.
 
OLESAIDIMU

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Messages
19,176
Likes
218
Points
160
OLESAIDIMU

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2011
19,176 218 160
Time will tell more loudly!!!!!
 
Mimibaba

Mimibaba

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2009
Messages
4,560
Likes
7
Points
0
Mimibaba

Mimibaba

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2009
4,560 7 0
Umbea hauna posho. Za kuambiwa changanya na zako
 
Gwalihenzi

Gwalihenzi

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Messages
5,118
Likes
52
Points
145
Age
58
Gwalihenzi

Gwalihenzi

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2011
5,118 52 145
Mbona unatumia nguvu nyingi sana kueleza mambo ya kawaida tu ?
 
OLESAIDIMU

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Messages
19,176
Likes
218
Points
160
OLESAIDIMU

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2011
19,176 218 160
Mbona unatumia nguvu nyingi sana kueleza mambo ya kawaida tu ?
Kawaida ni nini hapo???!!!!
Yaani kiongozi wa chama.atoke Dar kwa ruzuku zetu mpaka Kigoma na mikutano inasemekana haijafanyika unasema kawaida????!!!!
 
Ralphryder

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Messages
4,587
Likes
8
Points
135
Ralphryder

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2011
4,587 8 135
Wameitwa watu wakubali au wakate hii ni kuonesha kujiamini kwa mtoa habari!!!!!!

Ngoja waje tutasoma hapa!!!!!
Ben,Tumaini Makene, wako bize wanajaribu ku edit picha za kupeleka ITV na kweye kikaratasi chao( wenyewe wanaita gazeti) la chadema daima.
 
CHAMVIGA

CHAMVIGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Messages
7,692
Likes
25
Points
135
CHAMVIGA

CHAMVIGA

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2012
7,692 25 135
Hao uliowaita ni Royal family wa Slaa na wakija hapa lazima wapambepambe na kuwahadaa wasomaji lakini mwenye macho haambiwi tazama.
 
OLESAIDIMU

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Messages
19,176
Likes
218
Points
160
OLESAIDIMU

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2011
19,176 218 160
Ben,Tumaini Makene, wako bize wanajaribu ku edit picha za kupeleka ITV na kweye kikaratasi chao( wenyewe wanaita gazeti) la chadema daima.
Kuficha ukweli ni sawa na.kufunika moto!!!!!!

With time all will be revealed
 
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
21,829
Likes
150
Points
160
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
21,829 150 160
Wakuu,
Taarifa za uhakika kutoka kwa katibu wa JIMBO LA KIGOMA KASKAZINI CHADEMA ndugu RAMA RUAHA, ni kwamba Katibu mkuu wa CHADEMA Padri SLAA leo alikuwa afanye mikutano miwili katika vijiji viwili baada ya kukimbia NGOME KUU YA ZZK ''MWANDIGA'' na kukimbilia kuweka mikutano ifanyike kijiji cha NYARUBANDA na mwingine KIDAHWE.

Taarifa kamili ni kama ifuatavyo

(i). MKUTANO WA NYARUBANDA. - Itabidi PADRI SLAA aishukuru mvua iliyowatawanyisha wananchi wenye HASIRA walioanza kumshambulia SLAA kwa mabango, maneno makali na mawe, huku vijana wake wa REDBRIGED wakionyesha kuishiwa nguvu na kuomba msaada wa POLISI.

SLAA anayejidai kichwa ngumu leo ameishukuru mvua hiyo iliyositiri AIBU YAKE YA KARNE YA KUPOPOLEWA NA MAYAI VIZA NA MAWE.

(ii). MKUTANO WA KIDAHWE - Katika Hali ile ile ya WAHA WA KIGOMA kumchukia DOKTA SLAA kwa kuwafanya wendawazimu na kuwataka washerehekee MAZISHI YA KIJANA WAO, huku SLAA ILIMBIDI AINGIE MITINI.

NDIO, SLAA AMESHINDWA KUTOKEA MKUTANONI KIDAHWE BAADA YA KUAMBIWA KUWA WANANCHI WA ENEO HILO WANA HASIRA NA CHUKI KUBWA DHIDI YAKE, VIONGOZI WA CHADEMA KIDAHWE WALIKATAA HATA KUMUWEKEA MEZA YA KUSIMAMA KUHUTUBIA, GARI LA M4C LILILOONGOZANA NA VIBARAKA WAKE LILIAMBULIA MATUSI MAKUBWA NA MAWE MFULULIZO KISHA KUPEWA TAHADHARI KUWA MLETENI SLAA AONE CHA MTEMA KUNI.

KWA KIFUPI KABISA SLAA AMEUMBUKA KWA KUSHINDWA KUHUTUBIA JIMBONI KWA ZITTO KABWE,

WENYEWE WANASEMA ''slaa hawezi kutuulia mwanetu halafu anakuja kutuimbia NGOMA za kikweo tucheze, sisi sio wapuuzi''

namuomba MOLEMO, BEN SAA NANE, TUMAINI MAKENE, WAITARA NA WENGINEO WOTE WAJE HAPA KUBISHA AMA KUTHIBITISHA TOFAUTI''
another reason for ZK to go... he couldnt defend his party leaders kwenye jimbo lake
 
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
6,732
Likes
2,290
Points
280
Age
38
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
6,732 2,290 280
Ben,Tumaini Makene, wako bize wanajaribu ku edit picha za kupeleka ITV na kweye kikaratasi chao( wenyewe wanaita gazeti) la chadema daima.
watakuja na picha feki kutuliza mizimu iliojaa hum
 
M

magohe

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2011
Messages
729
Likes
0
Points
35
M

magohe

JF-Expert Member
Joined May 21, 2011
729 0 35
Wakuu,
Taarifa za uhakika kutoka kwa katibu wa JIMBO LA KIGOMA KASKAZINI CHADEMA ndugu RAMA RUAHA, ni kwamba Katibu mkuu wa CHADEMA Padri SLAA leo alikuwa afanye mikutano miwili katika vijiji viwili baada ya kukimbia NGOME KUU YA ZZK ''MWANDIGA'' na kukimbilia kuweka mikutano ifanyike kijiji cha NYARUBANDA na mwingine KIDAHWE.

Taarifa kamili ni kama ifuatavyo

(i). MKUTANO WA NYARUBANDA. - Itabidi PADRI SLAA aishukuru mvua iliyowatawanyisha wananchi wenye HASIRA walioanza kumshambulia SLAA kwa mabango, maneno makali na mawe, huku vijana wake wa REDBRIGED wakionyesha kuishiwa nguvu na kuomba msaada wa POLISI.

SLAA anayejidai kichwa ngumu leo ameishukuru mvua hiyo iliyositiri AIBU YAKE YA KARNE YA KUPOPOLEWA NA MAYAI VIZA NA MAWE.

(ii). MKUTANO WA KIDAHWE - Katika Hali ile ile ya WAHA WA KIGOMA kumchukia DOKTA SLAA kwa kuwafanya wendawazimu na kuwataka washerehekee MAZISHI YA KIJANA WAO, huku SLAA ILIMBIDI AINGIE MITINI.

NDIO, SLAA AMESHINDWA KUTOKEA MKUTANONI KIDAHWE BAADA YA KUAMBIWA KUWA WANANCHI WA ENEO HILO WANA HASIRA NA CHUKI KUBWA DHIDI YAKE, VIONGOZI WA CHADEMA KIDAHWE WALIKATAA HATA KUMUWEKEA MEZA YA KUSIMAMA KUHUTUBIA, GARI LA M4C LILILOONGOZANA NA VIBARAKA WAKE LILIAMBULIA MATUSI MAKUBWA NA MAWE MFULULIZO KISHA KUPEWA TAHADHARI KUWA MLETENI SLAA AONE CHA MTEMA KUNI.

KWA KIFUPI KABISA SLAA AMEUMBUKA KWA KUSHINDWA KUHUTUBIA JIMBONI KWA ZITTO KABWE,

WENYEWE WANASEMA ''slaa hawezi kutuulia mwanetu halafu anakuja kutuimbia NGOMA za kikweo tucheze, sisi sio wapuuzi''

namuomba MOLEMO, BEN SAA NANE, TUMAINI MAKENE, WAITARA NA WENGINEO WOTE WAJE HAPA KUBISHA AMA KUTHIBITISHA TOFAUTI''
kwa staili hii unaonekana umekurupushwa toka chooni.
nahisi hujajitawaza bado maana hujatulia bado.

unatuletea bla bla za vijiweni..weka uthibitsho wa maneno yako ili wanajamvi waujue ukweli.

vinginevyo wewe ni gambaz sawa na hao wapenda fujo unaotamani wakusaidie kuharibu mikutano ya dr.
 
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,499
Likes
218
Points
160
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,499 218 160
Wameitwa watu wakubali au wakate hii ni kuonesha kujiamini kwa mtoa habari!!!!!!

Ngoja waje tutasoma hapa!!!!!
Taarifa ailete yeye kimbeambea afu waitwe wengine kujibu upuuzi wake..!? NO WAY..!
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,236,086
Members 474,988
Posts 29,246,093