PICHA: Mapacha wanaofanana wanapooana wao kwa wao!

Hapo wakijichanganya kidogo tu unaweza kushtukia jamaa amechukua mke wa mwingine bila kudhamiria
 
Tafsiri ya wao kwa wao imenipa shida kabla sijatafakari picha...

Mapacha wa familia A wanapooana na mapacha wa familia B...

Hivi hujui kuwa picha nazo hutumika katika kufikisha habari au ujumbe?

Laiti kama ungekazania kuzielewa picha wala usingepata mkanganyiko
 
Hapo wakijichanganya kidogo tu unaweza kushtukia jamaa amechukua mke wa mwingine bila kudhamiria

Imenikumbusha dada mmoja aliwahi kunisimulia jinsi alivyowahi kujichanganya kwa pacha wa mume wake. Alikuwa ameolewa na mume ambaye alikuwa na pacha mwenzake, siku za mwanzo za ndoa yao alikuwa anashindwa kutofautisha kati ya mumewe na shemeji yake, ambaye alikuwa pacha wa mumewe. Siku moja alivyorudi nyumbani akamkuta shemeji yake amefika akaanza kumchangamkia na kufanya vituko ambavyo ni maalumu kwa wanandoa au wapenzi tu. Baada ya muda akastaajabu kuona mbona mwenzake ameduwaa/kapigwa na bumbuazi. Kuja kutahamaki akagundua ni shemeji yake............
 
Hapo wakijichanganya kidogo tu unaweza kushtukia jamaa amechukua mke wa mwingine bila kudhamiria

The cup is always half empty for you - see things on positive side also
 
Wanaweza kuonjeana

hiyo lazima kwa mapacha ni kitu cha kawaida. mapacha hata hapa bongo wengine huchangia wanawake. na mmoja akisafiri anamwagiza mwenzake awe karibu na mke wao ili asichapwe nje.
 
Du afadhali waliishia hapo, mi nilifikiri amempa na tunda,walipomaliza jamaa akasema asante wakati mume wake asemagi asante alafu jamaa akauliza chooni ni wapi ndo demu akashtuka kumbe ni shemeji yake yaani pacha la mume wake
 
Hao wapacha wa kichina wamefanana sana hatar

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Nnachojiuliza yaani wanapotafuta wachumba/mchumba kigezo wapate pacha wenzao au?
 
Xaxa akafanyaje mbona umeishia kama ndio unaanza?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…