Picha: Makonda kamrithi Mwigulu?

Kama Wazenji wanamwona Mwigulu ameamza kuwa samaki,huenda Bashite akawa Dotto wake! Kama ilivyokuwa kwa Kassimu aliyepita! Naibu PM!
Kumwambia baada ya 2030 hatahitajika.
 
Acha kutupanga mkuu, wanatoa maelekezo kwa wizara zinazowahusu tu, kwahiyo mfano mama Gwajima akatoe maelekezo kuhusu mambo ya wizara ya fedha?
 
Acha kutupanga mkuu, wanatoa maelekezo kwa wizara zinazowahusu tu, kwahiyo mfano mama Gwajima akatoe maelekezo kuhusu mambo ya wizara ya fedha?
Nilichokisema ndiyo ukweli wenyewe Mkuu

Mawaziri wamefanywa Walezi wa Mikoa, kwahiyo wanapotembelea miradi ya maendeleo huwa wanatoa maagizo kabisa kwaajili ya kupush utekelezaji wake

Nina uhakika na hilo Mkuu
 
Hauko sahihi mkuu hata kwa logic ya kawaida tu haimake sense
 
Ateuliwe Waziri asiye na wizara maalum kama Mchukicha au awe Naibu PM.😀 Au Makamu wa pili wa Rais!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…