Mziwandawamama
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 1,303
- 944
vipi yule ambae anawauliza watoto majukwaani eti mimi naitwa nani??Ama kweli desparate times calls for desparate measures! Jamaa amechanganyikiwa hadi anaomba kura kwa watoto wadogo..huyu akiendelea hivi huwezi kushangaa anaomba hadi wanyama wampigie kura ya ndiyo
Magufuli haombi kura kanisani km huyo mdini
Lofa hana ajuacho !
Utaleta ushahidi kisutu
ni pm namba ya rais wangu na mimi walau nimsikie kwa cmwewe acha mm siku nilipoongea nae kwenye sim kwa mara ya kwanza ilikuwa 2013 yaani nilifurahi sana anaongea vizuri. Kesho nakamata fursa lazima nimshike mkono. Leo jion ntamtext
ni vizuri likawa 'chaguo lako'....Magufuli chaguo la wengi!
Tabora alienda kuomba kura Kanisani na si kusali !
Hivi ni lini mimi nifah nitapata bahati ya kushikwa mkono na rais wangu kipenzi Lowassa?
Nimewaonea wivu sana hao watoto!
Mungu wetu anakaa nasi mioyoni.hii ya kuwasanifu watoto wa Sunday School ni show off na kuzalilisha Kanisa.Magufuli anaenda Ikulu bila ulaghai huu
Hahahaa kumbe hujui kanisani watu wanaenda kufanya nini.
Inzi atatengeneza asali !
Kama kawaida yake na ulaghai wake wa kutafuta kura kanisani tena ashindwe katika jina la yesu.
Kama kawaida yake na ulaghai wake wa kutafuta kura kanisani tena ashindwe katika jina la yesu.
Aliwaambia mie ni Mlutheri wa kwanza 'mtia nia' hivyo nipeni kura zenu !....walutheri hoiyeee!
Kingunge alishasema hakuna Mungu. Kalagabaho.