Pushup ni fitness.kwenda na kuwapigisha watoto wetu picha na wewe wakati una agenda zako za kisiasa ni kuwazalilisha na kuwatumia vibaya-exploitation of children
Safi sana ataingia Ikulu na upako.
Bora huyu anaenda kweupe kwenye nyumba za ibada kuliko Makomeo karithi ugagula wa mkwere na nasikia pesa za Libya zinaleta magagula tu wa kimataifa chini ya uratibu wa Maembe wa NafNaf beach hotels!!!
Yatasemwa mengi but he's the next president!
Magufuli kanisani? Muda huo anautumia kupiga chuma ili asishindwe kutekeleza sera alizoahidi jukwaani.
Inzi atatengeneza asali !
''MAMBA NI MAMBA TU, GOGO HATA LIKAE MAJINI MIAKA MILIONI LITABAKI KUWA LEVO YA GAMBA''
huyo magufuri Hata uenyekiti Wa Mtaa Hatumpi!...Uraisi Wa Tanzania Ni Kwa LOWASSA!
Kusali kwa kujionesha ni haramu kwa Mungu
Hahahaa nimeipenda hiyo#UgambaNiKazi
Mmmhhh mi nasikia eti Lizaboni alipigwa. mawe ubungo?? Atuambie ni kweli???
nashukuru kwa kua umekiri haumwihiyo picha feki- haki ya mungu hao watoto ni wa Connacry tena mwaka 1990 si unaona Lowassa alikua haumwi
nashukuru kwa kua umekiri haumwi.picha ya leo hiyohiyo picha feki- haki ya mungu hao watoto ni wa Connacry tena mwaka 1990 si unaona Lowassa alikua haumwi
Atanasa kwenye asali! Sio atatengeneza!
Kingunge alishasema hakuna Mungu. Kalagabaho....maana kiongozi bora pia ni yule mwenye hofu ya Mungu
Kusali kwa kujionesha ni haramu kwa Mungu