Hao Watoto Walijuaje Kuwa Ni El?
kwanza tafuteni ufalme wa Mungu na hayo mengine nyote mtazidishiwa.well done
Alienda kuomba kura tena?
Kusali kwa kujionesha ni haramu kwa Mungu
ni vizuri likawa 'chaguo lako'....Magufuli chaguo la wengi!
""HAKUNA KITU CC WANAKICHUKIA KAMA SALA NA MAOMBI""
ii
Alienda kuomba kura tena?
chaGuo La Wewe Na Familia Yako Lakin Sio Mimi!.
Alienda tena kuomba kura kwa warutheli nini? huyo mzee asituletee udini hapa tanzania ni moja, na watanzania ni wamoja pia. udini, ukabila, ukanda kamwe tusiupe nafasi
ww ulitaka kwa kuwa anagombea asiende kanisan na wakat alikuwa anaendaga
ni vizuri likawa 'chaguo lako'....Magufuli chaguo la wengi!
Alienda tena kuomba kura kwa warutheli nini? huyo mzee asituletee udini hapa tanzania ni moja, na watanzania ni wamoja pia. udini, ukabila, ukanda kamwe tusiupe nafasi
hiyo picha feki- haki ya mungu hao watoto ni wa Connacry tena mwaka 1990 si unaona Lowassa alikua haumwi
Unadhani uko sahihi kuandika hili kama ni mtanzania wa kweli!?
Alienda kuomba kura tena?
wengi na kina nani?
VIVA UKAWA!!!!