Picha: Lowassa afanya kufuru Babati Mjini | Page 8 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha: Lowassa afanya kufuru Babati Mjini

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ocampo four, Oct 2, 2015.

 1. Ocampo four

  Ocampo four JF Senior Expert Member

  #1
  Oct 2, 2015
  Joined: Feb 28, 2014
  Messages: 5,791
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mkutano wa Mgombea Urais wa Chadema kupitia UKAWA, Edward Lowassa, katika Uwanja wa Kwaraha, Babati Mjini, leo Oktoba 2, 2015...

  Dunia imeona. Tanzania imeona. Watanzania wanaona.......
   

  Attached Files:

 2. m

  mangatara JF-Expert Member

  #141
  Oct 3, 2015
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 10,808
  Likes Received: 6,628
  Trophy Points: 280
  mwanamby;
  Pia chuki zetu kwa maccm zisitufanye tukaweka alama yeyote Zaidi ya yule tunayemtaka. Kura itakuwa imeharibika. Weka vema tu kwa umpendaye mengine umeshajibu tiyari nenda ngojea kuapishwa tu
   
 3. wiseboy

  wiseboy JF-Expert Member

  #142
  Oct 3, 2015
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,849
  Likes Received: 2,140
  Trophy Points: 280
  kipenzi cha watu
   
 4. t

  tedywite JF-Expert Member

  #143
  Oct 3, 2015
  Joined: Apr 10, 2015
  Messages: 284
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Lowasa ukimuangalia tu unajua Kwamba huyu ni rais.
   
 5. Mshana Jr

  Mshana Jr JF-Expert Member

  #144
  Oct 3, 2015
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 93,374
  Likes Received: 103,708
  Trophy Points: 280
  Anaisoma namba kimyakimya
   
 6. ajua

  ajua Senior Member

  #145
  Oct 3, 2015
  Joined: Aug 25, 2015
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  weka jiwe lowasa na wao waweke mtu jiwe litapigiwa kura tu
   
 7. R

  Robart Katema Member

  #146
  Oct 3, 2015
  Joined: Sep 5, 2015
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa anakubalika sana mwenye wivu ajinyonge peopleeeeees!!!""!!!!
   
 8. Chakochangu

  Chakochangu JF-Expert Member

  #147
  Oct 3, 2015
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 2,359
  Likes Received: 1,426
  Trophy Points: 280
  Nilishawaambia ile pilipili mliotwanga pale DODOMA ilikuwa ni kali sana itawapalia, na mtakohoa sana. Mpaka mkohoe damu mwaka huu.
   
 9. M

  Master b Member

  #148
  Oct 3, 2015
  Joined: Jul 12, 2015
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  viva lowasa,ushindi ni wako
   
 10. uyui kwetu

  uyui kwetu JF-Expert Member

  #149
  Oct 3, 2015
  Joined: Oct 23, 2013
  Messages: 902
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 80
  Mkuu ccm imeoza kila sekta madampo katikati ya makazi ya watu maji hakuna Umeme ndio usiseme yaani hata kula na kipofu hawajui magufuli aliahidi flying over itajengwa wapi mpaka leo Hakuna reli kwishney Foleni dar Ndio usiseme masaa matatu njiani hospital huduma mbovu dawa wanagawana viongozi
   
 11. Nifah

  Nifah JF-Expert Member

  #150
  Oct 3, 2015
  Joined: Feb 12, 2014
  Messages: 26,068
  Likes Received: 24,925
  Trophy Points: 280
  Haaaaaa!Kaka umeniozesha lini?
  Au hutaki mahari?
  Shauri zako.
   
 12. Nifah

  Nifah JF-Expert Member

  #151
  Oct 3, 2015
  Joined: Feb 12, 2014
  Messages: 26,068
  Likes Received: 24,925
  Trophy Points: 280
  Uncle Zamiluni Zamiluni nimeshakushtukia una harufu ya maCCM!
  Hata sina hamu na wewe kabisaaa,subiri tukirudi kutoka kwenye mabadiliko nitakupitia twende kushuhudia Lowassa akiwa anaapishwa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #152
  Oct 3, 2015
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 19,299
  Likes Received: 9,767
  Trophy Points: 280
  Hebu ongea na atoto basi naye abadili mawazo!??
   
 14. Sanga AD

  Sanga AD Member

  #153
  Oct 3, 2015
  Joined: Jul 12, 2015
  Messages: 76
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Nchi yetu Mwaka huu viva Ukawa
   
 15. Nifah

  Nifah JF-Expert Member

  #154
  Oct 3, 2015
  Joined: Feb 12, 2014
  Messages: 26,068
  Likes Received: 24,925
  Trophy Points: 280
  Kwani umesikia mimi nimebadili mawazo?Mahari yanaliwa na maisha yanaendelea....lol
   
 16. Nifah

  Nifah JF-Expert Member

  #155
  Oct 3, 2015
  Joined: Feb 12, 2014
  Messages: 26,068
  Likes Received: 24,925
  Trophy Points: 280
  Bora tupiganie mabadiliko tu best yangu maana yule popoma wetu katuangusha sana.
   
 17. w

  waktz Senior Member

  #156
  Oct 3, 2015
  Joined: Aug 25, 2015
  Messages: 143
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Piga kura urudi nyumbani otherwise ukikaidi utapigwa tu maana amna namna nyingne sasa watakupiga tu
   
 18. K

  Kamusoko Member

  #157
  Oct 3, 2015
  Joined: Oct 2, 2015
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Babati hongereni kwa kumuunga mkono mr Ed safi sana
   
 19. gimanini

  gimanini JF-Expert Member

  #158
  Oct 3, 2015
  Joined: Jun 20, 2015
  Messages: 1,082
  Likes Received: 588
  Trophy Points: 280
  tujitokeze kupiga kura,na kumchagua mhe. edward lowasa.tanzania bila Ebola CCM inawezekana
   
 20. k

  kiluvya JF-Expert Member

  #159
  Oct 3, 2015
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,251
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180
  Diamond wa UKAWA ni Lowasa mkuu...mzee anatisha kama njaa....!
   
 21. l

  libumi Member

  #160
  Oct 3, 2015
  Joined: Oct 1, 2015
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mh! Naomba kuuliza hivi upinzani wa mwaka huu unaweza kulinganishwa na kipindi kile cha mrema alipokuwa NCCR? mlioshuhudia kipindi hicho 1995 mnisaidie
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...