Picha: Lowassa afanya kufuru Babati Mjini | Page 10 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha: Lowassa afanya kufuru Babati Mjini

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ocampo four, Oct 2, 2015.

 1. Ocampo four

  Ocampo four JF Senior Expert Member

  #1
  Oct 2, 2015
  Joined: Feb 28, 2014
  Messages: 5,791
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mkutano wa Mgombea Urais wa Chadema kupitia UKAWA, Edward Lowassa, katika Uwanja wa Kwaraha, Babati Mjini, leo Oktoba 2, 2015...

  Dunia imeona. Tanzania imeona. Watanzania wanaona.......
   

  Attached Files:

 2. K

  Kamuzu JF-Expert Member

  #181
  Oct 4, 2015
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45


  Kura za ccm zamu hii hazitajaa hata kiganja, hao wanaowasindikiza majukwaani huenda pia wako kwa Edo, huko wanafata mpunga tu.
   
 3. M

  Msengapavi JF-Expert Member

  #182
  Oct 4, 2015
  Joined: Oct 23, 2008
  Messages: 5,091
  Likes Received: 2,989
  Trophy Points: 280
  kwa nini iwe afajiri hivo!
   
 4. M

  Msengapavi JF-Expert Member

  #183
  Oct 4, 2015
  Joined: Oct 23, 2008
  Messages: 5,091
  Likes Received: 2,989
  Trophy Points: 280
  yaani inaonekana kuwa wewe ndo mjinga na kama hiyo haitoshi, hujui kuwa u-mjinga; angalia watu wasije kukuona kuwa u-mpu.mbavu!
   
 5. n

  ng'adi lawi JF-Expert Member

  #184
  Oct 4, 2015
  Joined: Sep 27, 2014
  Messages: 2,847
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Hill pepo chafu la mafisadi litawatafuna lowasa akosa urais kwa kuwa hatakubali matokeo na mtaandamana mpigwe.
   
 6. kirumbuyo

  kirumbuyo JF-Expert Member

  #185
  Mar 1, 2018
  Joined: Jan 1, 2014
  Messages: 435
  Likes Received: 511
  Trophy Points: 180
  Hiv haya mafuriko vp alishinda kweli
   
 7. M

  Maharo JF-Expert Member

  #186
  Mar 1, 2018
  Joined: Aug 22, 2016
  Messages: 1,937
  Likes Received: 1,165
  Trophy Points: 280
  ZAMA ZA KALE
   
 8. zitto junior

  zitto junior JF-Expert Member

  #187
  Mar 6, 2018
  Joined: Oct 7, 2013
  Messages: 7,329
  Likes Received: 5,584
  Trophy Points: 280
  January na nape wana majibu zaidi
   
Loading...