Picha: Lowassa afanya kufuru Babati Mjini

Picha: Lowassa afanya kufuru Babati Mjini

Kila eneo ni kuvunja record kwa staili yake. Ni raha ilioje, asubuhi, mchana hadi usiku wapo UKAWA. Pole zao wanaoshinda na vinyonga, asubuhi gamba usiku gwanda.

Achana na Lowassa huyu ni habari ingine hafananishwi.
 
Hata kama ni nyota, ccm imewakosea nini , kwanini mnaichukia kiasi hiki, km barabara mmejengewa, au mpaka flyover? Basi tutajenga hapo ubungo na tazara , na dawa zitakuwa zinapatikana hsp, hata madawati tutaweka kwenye shule za vijijini, hapo vp!

Mlikuwa wapi mnangoja nini msipeleke miaka yoote 54 ya uhuru mpk leo? Mmechelewa ndege imesha takeoff
 
Yaani nashindwa kuelewa lowasa ana nini, au kuna vimafuta anajipaka nakufanya avutie watu kiasi hiki? Mbona hatumii nguvu kuubwa kuhutubia, wala hapigi pushaup, kama wakwetu, dah, yaani naumia sana kila nikifungua picha za huyu mtu, nimechanganyikiwa kabisa, huko kijijini nako anajaza km jangwani, haiwezekani, kuna namna inafanyika, wanaunganisha picha tu. Inakuwaje watu wanajaa bila kusombwa na malory? Huu ni uonevu kabisa, tuweke usawa kidogo.

Binafsi nilikuwepo ndani ya uwanja huu wa kwaraa kama mwenyeji wa hapa haijawahi tokea mafuriko kama haya ya leo ndani ya uwanja huu tangu nizaliwe na pamoja vifaa vya chadema kuuzwa ghali watu walivinunua kwa wingi
 
dr. mihogo alijua atabadili upepo wa watz kumbe olla anaonekana zoba tuu sasa EL hachafuki mzeee
 
haha haha haha haha "wame-edit hizi za dr slaa mwaka 2010" teh teh teh teh

mchawi mpe mtoto/mwanao amlee ni makosa kusema Ccm wataiba kura enyi wadanganyika mtaibiwa kisha mkae kimya eti mlalamike mmeibiwa? shenzi ..........kama unauhakika mtaibiwa kura hapo tz mtakua wakimbizi sasa unaibiwa mnachekelea....mungu wangu wewe

Hakuna kilichoeditiwa hapo ndo uhalisia mimi kama mwenyeji wa hapa nilikuwepo uwanja wa kwaraa babati mjini umati watu huu haijawahi tokea na wingi wa watu ulifananishwa na kokoto yaani ilikuwaa ni shidaa. kazin tulitoka kabla ya wakati hata mh. lowasa alifika saa kumi na moja akitokea mbulu. Usipanic hii ndo babati na juma pili pia tutaenda kuangalia fiesta na push up. sasa sijui hapa atapiga push up ngapi
 
Hata kama ni nyota, ccm imewakosea nini , kwanini mnaichukia kiasi hiki, km barabara mmejengewa, au mpaka flyover? Basi tutajenga hapo ubungo na tazara , na dawa zitakuwa zinapatikana hsp, hata madawati tutaweka kwenye shule za vijijini, hapo vp!

Ccm must go,no way
 
Manyara pia tupo tayari kwa mabadiliko ya kweli yalipo ndani ya UKAWA
 
Shikamoo lowassa..jk na wajinga wake na yule mpiga push up wajiandae kisaikolojia..gharika linakuja sasa.
 
Inauma sana na inasikitisha pale chama kinapoamini katika hongo,rushwa na ufsadi, kitendo cha kuonga wabunge ili waipitishe katba ilikuwa ni raana kwa taifa, kitendo cha kuonga viongozi wa upinzani ili waachane na siasa ni raana pia, kitendo cha kutumia vyombo vya aerikali kama TBC, magazeti, watumishi wa serikali katika kampeini za ccm no raana pia, katka raana zote hizo chama hakiwezi kunusulika,
 
kilaaniwe CCM (chama cha matapel)
 
Mimi bado nashindwa kuelewa huyu mzee ana nini? Mbona ameshachafuliwa sana lakini watu wamezidi kumkimbilia tafadhali niambieni
 
Mm nipo tofauti na nyie,Lowassa kufanya kampeni Manyara na Arusha na Knjaro ni uharibifu wa raslimali pesa na muda

Huko anachukua 90% ys kura zote na idadi kubwa ya wabunge hata bila yy kufika!
 
ahahahahahaaaaa ccm out out out hell Kodi zetu manachukua hatuoni cha maana sasa tunawatoa tena hata hakuna cha serikali ya mseto
 
Hatumchagui mtu anayejinyea hata siku moja. #HapaKaziTu Chagua MAGUFULI. CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee MAGUFULI Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Lowassaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Kajinyeaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom