DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,642
'Lowassa haswaa ndiye Rais wenu,mimi namsindikiza tu ikulu' Magufuli
Mshua anajua lakini??
Yaani nashindwa kuelewa lowasa ana nini, au kuna vimafuta anajipaka nakufanya avutie watu kiasi hiki? Mbona hatumii nguvu kuubwa kuhutubia, wala hapigi pushaup, kama wakwetu, dah, yaani naumia sana kila nikifungua picha za huyu mtu, nimechanganyikiwa kabisa, huko kijijini nako anajaza km jangwani, haiwezekani, kuna namna inafanyika, wanaunganisha picha tu. Inakuwaje watu wanajaa bila kusombwa na malory? Huu ni uonevu kabisa, tuweke usawa kidogo.
Nafurahi kuona baba yangu naye ni mwanamabadiliko aliyekuwa kwenye huo mkutano.
Kila la kheri Lowassa,wao wanatukana wewe unazidi kuwajaza upepo.
Kwa haya mafuriko anayoendelea kuyapata Edo popote aendapo tena bila kutumia mafuso na malori tofauti na mtani wake mzee wa push ups wa mtaa wa Lumumba ambaye nyomi zake ni za vijana wanaokwenda kushuhudia 'fiesta' za bure, ni dhahiri sasa kuwa njia ya kuelekea Ikulu ishakuwa nyeupe kwa ELMTUMIENI ujumbe DR. MIOGO
![]()
Lowassa mjinga sana anakomaa na kaskazini anadhani wote malofa siyo.atashangaa kitakachompata.
hapo hakuna......
Hapo hakuna futui.
the comedy
diamond
yamoto band
barnaba
ally kiba
na wengine wengi.....
sasa najiuliza Ccm watashindaje kwa Umma kama Huu....amin nawambieni Ukawa wakiwa Makini kura Zisipo ipiwa Lowassa atashinda kwa 70%
Uchaguzi Huu Ni Kati Ya Lowasa Vs Kikwete Magufuli Na chambo Tu
Mbeya, Njombe, Iringa, DSM, Lindi, Mtwara ni kaskazini?