Picha: Lowassa afanya kufuru Babati Mjini

Nyota nyota Mkuu...

Hata kama ni nyota, ccm imewakosea nini , kwanini mnaichukia kiasi hiki, km barabara mmejengewa, au mpaka flyover? Basi tutajenga hapo ubungo na tazara , na dawa zitakuwa zinapatikana hsp, hata madawati tutaweka kwenye shule za vijijini, hapo vp!
 
Dawa ni kuiondoa kirusi CCM. Pamoja na kufumua mfumo mzima
 
duh, kwa picha hizi 'fuli inabidi atupe taulo yaishe
Kwa picha hizi za mafuriko ya Lowassa popote aendapo, kaskazini na kusini, mashariki na magharibi, ni dhahiri sasa kuwa vigogo wengi wa CCM hivi sasa watakuwa wanakosa usingizi, kwa kuwa weshajua kuwa kwa hivi sasa hakuna tena mkakati wowote wanaoweza kuufanya wa kumzuia EL asiende Ikulu.
 
Duuh!

Hadi magari yamezama kwenye mafuriko ya watu, hii balaa kwa mamlaka ya juu iliyomzuia Eddo asivunje mkataba wa RICHMOND, matumbo moto!!

MTUMIENI ujumbe DR. MIOGO
attachment.php
 
mkutano wa mgombea urais wa chadema kupitia ukawa, edward lowassa, katika uwanja wa kwaraha, babati mjini, leo oktoba 2, 2015...

Dunia imeona. Tanzania imeona. Watanzania wanaona.......
watanzania wamechoka kukalia kinyesi kwa muda wa miaka 54 sasa wanataka mabadiliko na mabadiliko ya kweli ni kumchagua lowana na ukawa! Pipoooooooooooooooooooooooz!
 
Back
Top Bottom