Picha: Lowassa afanya kufuru Babati Mjini

Picha: Lowassa afanya kufuru Babati Mjini

dah yani EL asipochukua nchi,hyo cku nitauzunika sana na kutoa machozi vibaya mno...
Ila naamin kura yangu ndio ya ushindi kwa Lowasa,nitapiga na kulinda kura hyo mpaka matokeo yatakapo bandikwa

Mkuu wala usiwe na pressure, anashinda na ni mapema asubuhi tu, mda huu kama unachakula chako au kinywaji chako endelea nacho kwa raha zako... ni ushindi tu...
 
Mtwara ni kaskazini??? mbeya je? iringa??

Hakuna malalamiko, maana kuiba hamuwezi, na lowasa anaingia ikulu.

NB: Mpaka uzi huu umefikia hapa nimeona gamba hili moja tu ndio limefika hapa?? swali ni je, magamba mengine yako wapi?????? au wanaogopa mafuriko yatawasomba!!!????? eti we mtoto wenzako wako wapi??

Geita shinyanga n,k
 
Hapa ni UKAWA na LOWASSA na UKAWA tu futa delete kabisa hao ccm na wafutwe tu hao ccm kwa maana hamna nanmna sasa wafutwe ccm ndiyo na mimi nasema wafutwe na nitawafuta ccm tarehe 25 Oktoba 2015.
 
Hata kama ni nyota, ccm imewakosea nini , kwanini mnaichukia kiasi hiki, km barabara mmejengewa, au mpaka flyover? Basi tutajenga hapo ubungo na tazara , na dawa zitakuwa zinapatikana hsp, hata madawati tutaweka kwenye shule za vijijini, hapo vp!

faq sana
 
Back
Top Bottom