Picha: Lowassa afanya kufuru Babati Mjini | Page 9 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha: Lowassa afanya kufuru Babati Mjini

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ocampo four, Oct 2, 2015.

 1. Ocampo four

  Ocampo four JF Senior Expert Member

  #1
  Oct 2, 2015
  Joined: Feb 28, 2014
  Messages: 5,791
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mkutano wa Mgombea Urais wa Chadema kupitia UKAWA, Edward Lowassa, katika Uwanja wa Kwaraha, Babati Mjini, leo Oktoba 2, 2015...

  Dunia imeona. Tanzania imeona. Watanzania wanaona.......
   

  Attached Files:

 2. BROO

  BROO JF-Expert Member

  #161
  Oct 3, 2015
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 358
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  chief una rohoo ngumuu sanaa..polee
   
 3. c

  charles njau Member

  #162
  Oct 3, 2015
  Joined: Jul 11, 2015
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiinika mvua zaelnino bb tunakusubiri wakati wakuapishwa mungu akulinde
   
 4. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #163
  Oct 3, 2015
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,299
  Likes Received: 2,620
  Trophy Points: 280
  Lowassa rais wetu
   
 5. jay-mc

  jay-mc Senior Member

  #164
  Oct 3, 2015
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 135
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  viva lowasa ndugu zangu wapenda mabadiko na maendeleo ya nchi yetu tz naomba tuzid kumuombea kwa mungu ili azid kumlinda maana kunawatu hawampend wana msema vibaya na ninajua wanafanya ivyo kwa maslah yao binafsi tumuoombee na tuka pige kura na tulinde kura zake ili awe raisi wetu wa awamu ya tano
   
 6. Zamiluni Zamiluni

  Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member

  #165
  Oct 3, 2015
  Joined: Feb 11, 2014
  Messages: 11,298
  Likes Received: 7,307
  Trophy Points: 280
  Aunty mdogo.... usinidhanie !! wewe hauna elimu L ghaibu !! hadi unishtukie.... vyama na mie wapi na wapi?.... nasema tena huko tuendako kuna kaburi linatusubiria tu !!!
   
 7. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #166
  Oct 3, 2015
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,539
  Likes Received: 3,438
  Trophy Points: 280
  Tutamchagua hivyo hivyo, nyie endeleeni na matusi maana ndio sera pekee iliyobaki nayo ccm.
   
 8. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #167
  Oct 3, 2015
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,687
  Likes Received: 12,208
  Trophy Points: 280

  Watakwambia tanga kaskazini
   
 9. cabhatica

  cabhatica JF-Expert Member

  #168
  Oct 3, 2015
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Nilidhani ni macho yangu tu...kumbe hata wewe umeona. He looked strong and healthy. Inawezekana ni Mungu anawajibu waliomwita marehemu.
   
 10. Slim5

  Slim5 JF-Expert Member

  #169
  Oct 3, 2015
  Joined: Jan 7, 2014
  Messages: 17,984
  Likes Received: 17,036
  Trophy Points: 280
  Naanza kuwapunguza! Mafuriko kila mahali, haikubaliki!
   
 11. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #170
  Oct 3, 2015
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,711
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hadi raha kuona watu kila kona wameyakubali mabadiliko na wanasubiria tu kupiga kura za kutosha kuwaonyesha mafisadi wa ccm mwisho wa kutofanya malofa ni tarehe24 October :peace:
   
 12. W

  WAPOMA JF-Expert Member

  #171
  Oct 3, 2015
  Joined: Dec 1, 2012
  Messages: 689
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Thread hii yanimalizia MB najikuta narudia mara kadhaa sasa zaidi ya mara kumi!!

  Lowassaaaaahhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!>>>>>>>>>>>>>>>>>>>.........................
   
 13. c

  christmas JF-Expert Member

  #172
  Oct 3, 2015
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 2,611
  Likes Received: 289
  Trophy Points: 180
  Mabadiliiiiiiiiiiiikooooooooooooooooooooooooo......
  VIVA UKAWA!!!!
   
 14. C

  CBONGE Member

  #173
  Oct 3, 2015
  Joined: Jul 28, 2015
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha
   
 15. Son of Gamba

  Son of Gamba JF-Expert Member

  #174
  Oct 3, 2015
  Joined: Oct 26, 2012
  Messages: 2,564
  Likes Received: 2,389
  Trophy Points: 280
  Kwani uongo? Si kweli alikunya kwenye nguo alipokuwa Chato??? Kama ni uongo bisha nikurushie video???
   
 16. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #175
  Oct 4, 2015
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,539
  Likes Received: 3,438
  Trophy Points: 280
  Hata unirushie akiwa uchi au vyovyote vile, bado kura yangu ni kwa Lowasa.
   
 17. Son of Gamba

  Son of Gamba JF-Expert Member

  #176
  Oct 4, 2015
  Joined: Oct 26, 2012
  Messages: 2,564
  Likes Received: 2,389
  Trophy Points: 280
  Ushapumbazwa akili kishirikina hakuna unachoweza kuelewa wewe. Misukule katika ubora wake.
   
 18. Fyengeresya

  Fyengeresya JF-Expert Member

  #177
  Oct 4, 2015
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 723
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 60
  Mungu akubariki, watu wamenyweshwa maji ya Kijani wameoza. Wanahitaji kuombewa hakika.
   
 19. n

  ng'adi lawi JF-Expert Member

  #178
  Oct 4, 2015
  Joined: Sep 27, 2014
  Messages: 2,866
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  Shida gani wakati yeye ni mmojawao? Sema watapata mlinzi. Lkn hill halitokei.
   
 20. Fyengeresya

  Fyengeresya JF-Expert Member

  #179
  Oct 4, 2015
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 723
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 60
  Mungu akubariki, watu wamenyweshwa maji ya Kijani wameoza. Wanahitaji kuombewa hakika.
   
 21. K

  Kamuzu JF-Expert Member

  #180
  Oct 4, 2015
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 996
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45


  Kura za ccm zamu hii hazitajaa hata kiganja, hao wanaowasindikiza majukwaani huenda pia wako kwa Edo, huko wanafata mpunga tu.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...