Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,560
- 7,914
Picha linaanza siku ya uchaguzi internet na vyombo vya habari vinaminywa na wapinzani wanaenguliwa hapo hujue hakukuwa na uchaguzi.
wewe kama nan unapangaHv kushinda kwa 97% na kushinda kwa 51% Kuna utofauti gani?
N bc tuu ccm wote hawana akili, ila kama wangekuwa na akili kdg kama mchele bc wangeacha mambo yaende kama kawaida then wajipe 51% ili uchaguzi uonekane ulikuwa moto.
Lucas kabla ya uchaguzi alisema mama atashinda kwa kishindo hicho cha A+++++..Nadhani ndo muaandaaji ya matokeo ya uchaguzi,alikuwa na uhakika nayo licha ya uchaguzi kuharibika sehem mbalimbali tena mapema sana!.Hv kushinda kwa 97% na kushinda kwa 51% Kuna utofauti gani?
N bc tuu ccm wote hawana akili, ila kama wangekuwa na akili kdg kama mchele bc wangeacha mambo yaende kama kawaida then wajipe 51% ili uchaguzi uonekane ulikuwa moto.
N mwalimu huyo alikuwa anaweka tick kwenye karatasi zote hvy lazima awe na uhakika huoLucas kabla ya uchaguzi alisema mama atashinda kwa kishindo hicho cha A+++++..Nadhani ndo muaandaaji ya matokeo ya uchaguzi,alikuwa na uhakika nayo licha ya uchaguzi kuharibika sehem mbalimbali tena mapema sana!.