hao akina dada wanaopangusa machozi ni akina nani? hasa huyo wa picha ya pili. samahani kama nimewakwaza
Unahisi ka kuwahi nini mkuu!!!!?? POLE SANA KAMA NIMEKUKWAZA!!
hao akina dada wanaopangusa machozi ni akina nani? hasa huyo wa picha ya pili. samahani kama nimewakwaza
Sina tatizo na kulia kwa Lissu nikawaida kabisa
Natatizwa na baadhi ya memba walivyo mshambulia Pinda alipolia na sasa wanatetea kwa nguvu zote kulia kwa Lissu
Huu ni ukweli mtupu!!Unashindwa kutofautisha mambo weye!
Kamanda Lisu analia baada ya kumaliza vita na kuibuka mshindi,tena vita ngumu kweli kweli ambayo maadui wengine huwajui!!!Pinda alilia hata kabla ya kuanza vita ya kupambana na wauaji wa albino. Mwingine amelia kwa kushinda ....machozi ya furaha! Mwingine amelia machozi ya huzuni kwa kuliogopa tatizo.
Kama huoni tofauti wewe ndo una shida na sio membaz waliomshangaa Pinda
Tehe tehe teheee; chozi hili la Lissu na la Pinda lina tofauti gani?
Wanajamvi huyo jamaa hapo nyuma ya lisu mwenye kola nyeupe ni kaka yake wa kuzaliwa lisu anaitwa alute mughwai ndiye aliyekua wakili upande wa magamba kwenye kesi ya lema arusha mjini....
you are such devil... Lakini nashangaa sana unatakaje? kulia kuna mara mbili huzuni ikizidi lakini furaha ikizidi pia! kumbe kushinda kwake kumekuudhie? kwa taarifa yako jaji alotokota kesi ya lema hana akili timamu! ngrrrrrrrrrrrrrr! i wish nikukamate nikutafuneAnajua kuwa ameshinda kwa dhuruma na ametumia ujuzi wake wa kisheria katika kupindisha sheria,
kwa hiyo yale machozi ni majuto ya nafsi kwamba anaonekana mshindi kwa njia zisizo halali.
Anajua kuwa ameshinda kwa dhuruma na ametumia ujuzi wake wa kisheria katika kupindisha sheria,
kwa hiyo yale machozi ni majuto ya nafsi kwamba anaonekana mshindi kwa njia zisizo halali.
mimi naamini analia kwa sababu tofautitofauti ikiwemo majonzi na furaha,furaha kwa kuwa ameshinda kesi maana kwa kuwa watu tunaamini mahakama hazitendi haki kwa hiyo kwa kutendewa haki lazima ufurahie,lakini kwa upande mwingine ktk hali ya kawaida unaweza kulia kwa kuona aibu kuwa sasa daaaaah!hivi tulikuwa tunaamini kuwa mahakama hazitendi haki,sasa mimi nimetendewa haki,je nitawezaje tena kuhubiri kuwa mahakama hazitendi haki?
Alilia kwa furaha si kulia kwa kulia. Wewe ungefanyaje hasa usawa huu ambapo mahakama zetu zimeingiliwa na ushabiki wa kisiasa tofauti na huko nyuma?