PICHA: Kwanini Tundu Lissu amelia baada ya kushinda kesi??

Ni rahisi kuisemea hali ya mwingine kirahisi but inapokua yako inakuwa ngumu. Machozi yanapotoka kwa wachunguzi wa mambo huwa yanakua na ujumbe Lisu, hakuamini kama mahakama ingetoa hukumu ile, akikumbuka kilicho mkuta Kamanda Lema, na Namna Mahakama zetu zinapokuwa haziaminiwi kama bidhaa za (kichina)
 
Ndugu zangu kulia mbele ya hadhara kuna maana nyingi sana, inawezekana ni furaha, woga, hasira, maumivu,kuingiwa na huruma, kusikitika, upendo etc
Mh Tundu Lissu ni mtu ambae tunamfahamu ni jasiri sana, ni mtu ambae anazifahamu sheria na mahakama zetu ndani njee!
Jee kilichomfanya Mh. alie ni nini haswa? Na ile kulia imetufundisha nini haswa! kwa sisi wengine ambao hatujui mazingira na ya mahakamani na sheria kwa ujumla?
Je ilikuwa ni furaha ya kuwa haki imetendeka mahakamani?
Au hakuamini kama angeshinda ile kesi?
 
Join Date : 2nd April 2012
Posts : 8
Rep Power : 307
Likes Received2
Likes Given0
TATIZO LA WAGENI HUMU JAMVINI
Uwe unafuatilia mambo wewe hili suala lilishapita kitambo halafu na wewe unajidai kuanzisha Topic, wallioutuma kawaambieumetukuta tumekwisha amka........#@#*& wewe
 
Jamani,
Hakuamini kama haki ingetendeka kwake hata kama hakuiba kura wala kufanya kosa so aliposikia hana hatia ile furaha yake ikageuka ikawa kama ameshikwa na butwaa na ikampelekea kulia. JAMANI WAKATI MWINGINE FURAHA SANA INAGEUKA KUWA KUWA KILIO So ni jambo la kawaida kwa mpendwa wetu Mheshimiwa Tundu Lissu Mbunge machachari kuonekana amelia baada ya kutangazwa Mbunge halali na MAHAKAMA kutupilia mbali madai ya wanachama wa CCM
BIG UP TUNDU LISSU
:israel:
 
Akili mbovu kabisa. Hatutakiwi kutazama mabo kisiasa muda wote, kuna mambo tunatakiwa tuyaangalie kama yalivyo tu. Big up broo kwa kumtukana huyu bw*ge
:A S-baby::A S-baby:
 
Analia haamini kama angeshinda kwa jinsi alivyoiba kura na kuchezea akili za jaji kwa kubadilishia wwatu ushahidi!

we mbona mkeo ukimpakata vizuri huwa analiaga? isije kuwa nae ana kucheat, anachezea akili yako.
 
Furaha ya kweli huambatana na machozi!
Personally niliwai kulia nilipochaguliwa kujoin special school,it was to thank God kuwa ata mimi mnyonge ameamua kunitendea makuu!
 
Back
Top Bottom