PICHA: Kwanini Tundu Lissu amelia baada ya kushinda kesi??

LISSU1.jpg

Mbunge wa jimbo la Singida mashariki CHADEMA),Tundu Lissu,muda mfupi baada ya mahakama kuu kutupilia mbali maombi yaliyotolewa na Shaban Selema na Pascal Halu wa CCM,kupinga matokeo yaliyompa ushindi wa ubunge.

LISSU.jpg

Tundu Lissu akifutwa machozi wakati wakitoka nje ya mahakama baada ya mahakama kuu kutangaza kuwa ushindi wake huo, ni halali.(PICHA NA Dewjiblog)

Ndugu,wakati wa kesi Tundu Lissu alikuwa thabiti na mwenye kujiamini, sasa baada ya kushinda kesi ndiyo anaonekana kulia.

Nini maana ya kulia huku kwa Tundu Lissu?

Kwa hisani ya Mjengwablog.

Nimeguswa na kitendo hiki cha kutoka moyoni.
I understand when a man is reduced to tears kwa kudai haki yake, it is also an expression of letting things go na kusamehe.
Hii inaonyesha kuwa the muheshimiwa was in a fix, of which he was powerless to undo.
Mimi ni mwanan CCM lakini haki ni ya kila mtu, na kwa kuweza kutetea haki yake , Tundu Lissu nampongeza.
 
sio kila anayelia ana machungu wengine wanafuraha, ndio maana ukimfikisha mwanamke analia ukijidai unamwonea huruma ukamwacha anakasilika
 
Mtu hulia kwa sababu mbili tu.

wakati wa furaha.

wakati wa majonzi
 
Nimeguswa na kitendo hiki cha kutoka moyoni.
I understand when a man is reduced to tears kwa kudai haki yake, it is also an expression of letting things go na kusamehe.
Hii inaonyesha kuwa the muheshimiwa was in a fix, of which he was powerless to undo.
Mimi ni mwanan CCM lakini haki ni ya kila mtu, na kwa kuweza kutetea haki yake , Tundu Lissu nampongeza.

Mkuu Heshima mbele!!

Najifunza mengi toka kwako!! Hua huna ushabiki maandazi!

Heshima sana hata kama wewe ni gamba!
 
ikiwa yeye mbunge kafanyiwa vile vp maskini asiyeweza hata kuwa na nauli ya kumfikisha hapo ktk mahakama.
 
Wanajamvi huyo jamaa hapo nyuma ya lisu mwenye kola nyeupe ni kaka yake wa kuzaliwa lisu anaitwa alute mughwai ndiye aliyekua wakili upande wa magamba kwenye kesi ya lema arusha mjini....

Kuna ndugu yake na Lisu yuko CCM maana nijuavyo huyo mgwai aligombea Ubunge singida akamwagwa kwenye ngazi ya chama cha magamba....
 
Chozi la kumshukuru Mungu kwani haki imetendeka ktk maamuzi.
Katika comment zote hii imezingatia uhalisia,ni kweli ilikuwa vita kati ya Mungu na mfumo uliooza wa kifisadi,Mungu ameshinda machozi ya furaha na shukrani lazima yamtoke,kula like mkuu
 
Ni machozi ya furaha sana baada ya kuona haki imetendeka na baada ya kufutilia kuwa yale ya Arusha
 
It's plainly to see that he was overwhelmed with emotions. You and I, granted were in his position, might as well reacted same way. Katika hali ya kawaida kesi kama ile ktk nchi zilizostaarabika kesi ingetupiliwa mbali ktk hatua za awali tu maana wengi tulisoma humu viroja vya "mashahidi wa ccm" na mapungufu mengine kibao. Sasa kwa vile jaji alionelea aendelee nayo kimkanda-mkanda huwezi jua mwisho wa siku atahukumu vipi maana hao nao wako chini ya serikali hii hii dhalimu.So tusitafute kusoma sana ktk machozi ya Lissu kuna nini. Hongera na pole sana Kamanda Lissu. Hongera CDM na wananchi wote wa Tz
 
Lucky Dube aliimba :

Ding Ding Licky Licky Licky Bong,
It seems like it only happened yesterday, now that I think about it
tears cannot bring you joy, but joy can bring you tears,
even though I cry today, I will not hide it,
It is for a different reason - joy, that is why I'll shout it out, for the world to hear
I say hello, hello happiness,
Oh Jah (God), thank you, for another day(win), I say......



Hapo ndiyo utaona tofauti ya KULIA kwa Pinda na Tundu Lissu.
 
Last edited by a moderator:
hao akina dada wanaopangusa machozi ni akina nani? hasa huyo wa picha ya pili. samahani kama nimewakwaza
 
Anajua kuwa ameshinda kwa dhuruma na ametumia ujuzi wake wa kisheria katika kupindisha sheria,
kwa hiyo yale machozi ni majuto ya nafsi kwamba anaonekana mshindi kwa njia zisizo halali.
Nimekutukana matusi yote unayoyajua
 
Sina tatizo na kulia kwa Lissu nikawaida kabisa

Natatizwa na baadhi ya memba walivyo mshambulia Pinda alipolia na sasa wanatetea kwa nguvu zote kulia kwa Lissu
 
Back
Top Bottom