PICHA: Kwanini Tundu Lissu amelia baada ya kushinda kesi??

Tusisahau uwezo wa CCM kumtesa mtu. Nina hakika Lissu amepita kwenye misukosuko na mitego mingi ya CCM lakini kwa kudra za mwenyezi mungu mashahidi wote waliamua kusema kweli licha ya kununulia!
 
Wewe unafikiri kupoteza ubunge kirahisi rahisi ni vizuri wakati hujamaliza mikopo ya watu,anajua yaliyomkuta Lema kutokana na ujeuri wake lazima alie kwa furaha sababu hajapoteza ubunge ila nae awe makini na uropokaji wake wa jazba yaweza kuja kumkuta kama ya Lema,ha ha ha ha ha ha ha wewe unafanya mchezo na ubunge lazima alie!
 
Tundu Lissu angelifaa sana kuwa Rubani wa ndege ya Rais wa USA au ndege ya Abiria kama Boeng 747 kama siyo Airbus A380 yenye abiria kama 800 na kitu humo ndani.

Rubani au jemadari imara ni utamfahamu katika hali kama hii iliyopo hapo juu.

Wakati mambo yanachemka na Watanzania wengi wakiwa wameshika roho juu hadi tarehe 27/04 asubuhi, yeye aliendelea kuwa imara sana ndani ya mahakamana na wala hakutetereka. Wakati watu wengi wakiwa wameishiwa pumzi kwa kutokufahamu hukumu ya hili swala na mashambulizi yote yaliyofanyika na uongo wa kupika (tunakumbuka mara kibao mashahidi walikataa kuja mahakamani au kuchelewa) yeye aliendelea kurusha Scud kushoto na kulia.

Tundu Lissu aliendelea kujitetea mwenyewe huku akizuia mashambulizi kila kona hadi tukaona jinsi mashahidi wenyewe wanavyoanza kusema wazi kabisa "Tundu Lissu hakuhusika" au "Si rahisi kusema nani alihusika".

Mara nyingi marubani hao, huwa wakifika nyumbani na kuangalia jinsi alivyookoa watu na idadi ya watu wenyewe ilivyo, hapo ndipo hua wanaanza kulia. Siwezi kusema ni kilio cha furaha peke yake, hapana hata siku moja. Nafikiri inaweza kuwa kilio cha furaha na hasira. Unajua kama wewe uligombea safi kabisa na hukujihusisha na kashfa yeyote na umeshashinda na jitu linakuja kudai ulidanganya wakati si hulka yako, inauma sana.
Kuna baadhi ya mambo tayari yanakuwa yameshakuharibia CV yako maishani. Ni sawa na wee Mwanaume, anakuja jamaa na kukupandisha mahakamani kwa kudai unatembea na mkewe wake au umemuharibia binti yake mdogo. Hii itakuwa na wewe milele maana hata kama utashinda, bado watu wataamini kuwa wewe ni Kibaka tu kama siyo Fataki.
 
Com' again mama!!
 
Mkuu
Una point kubwa sana hapa sisi wenye macho tumeona!

Heshima mbele kwa makamanda wote mstari wa mbele!!

Anajua kuwa ameshinda kwa dhuruma na ametumia ujuzi wake wa kisheria katika kupindisha sheria,
kwa hiyo yale machozi ni majuto ya nafsi kwamba anaonekana mshindi kwa njia zisizo halali.
Mchovu wewe na mkanda wa CHADEMA!!!VIVA CHADEMA VIVA TUNDU LISU!!! Pole saana Mhe Lisu maghamba wana mbinu nyingi za kifisadi za dhuluma!!!!!

Hongera sana Tundu Lissu kwa kushida kesi yako nadhani Jaji kafanya kazi yake vyema kama alivyofanya Jaji kule Arusha kwenye kesi ya Lema.

Kulia kwa Tundu Lissu ukweli wa kilio chake anaujua mwenyewe ingawa kila mtu anasema lake.

Inawezekana Tundu Lissu analia kwa uchungu huku akisikitika kuwa watu walitaka kumkwamisha kuendelea kuchukuwa posho zake huku hakisubiri kiinua mgongo chake cha zaidi ya milioni 45.

Pole sana Tundu Lissu machozi ya mtu mzima unaweza kupigia deki na machozi ya mtu mzima ni dawa.
 
[h=2]Makosa makubwa kutengua matokeo ya Ubunge kwa ushahidi wa kusikia-Jaji Moses[/h] Jaji Moses Mzuna aliyetupilia mbali kesi dhidi ya mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu amesema ni makosa makubwa kwa mahakama kutengua matokeo ya uchaguzi kwa ushahidi wa kusikia.Jaji huyo amesema ili kutengua matokeo ni lazima kuwe na ushahidi ulio wazi tena wa vielelezo visivyotia shaka.Jaji huyo ameendelea kusema ni kosa kubwa kumuondoa kiongozi wa wananchi kwa ushahidi wa hovyo hovyo.
Jaji huyo pia amesema wanaofungua kesi za uchaguzi wanapaswa kujua kesi za kupinga matokeo si za mchezo mchezo.Amesema kwa njia hii ndipo mahakama zetu zitakapoheshimika.By Bush
 
LISSU1.jpg

Mbunge wa jimbo la Singida mashariki CHADEMA),Tundu Lissu,muda mfupi baada ya mahakama kuu kutupilia mbali maombi yaliyotolewa na Shaban Selema na Pascal Halu wa CCM,kupinga matokeo yaliyompa ushindi wa ubunge.

LISSU.jpg

Tundu Lissu akifutwa machozi wakati wakitoka nje ya mahakama baada ya mahakama kuu kutangaza kuwa ushindi wake huo, ni halali.(PICHA NA Dewjiblog)

Ndugu,wakati wa kesi Tundu Lissu alikuwa thabiti na mwenye kujiamini, sasa baada ya kushinda kesi ndiyo anaonekana kulia.

Nini maana ya kulia huku kwa Tundu Lissu?

Kwa hisani ya Mjengwablog.

Hii ni expression ya emotion.

Nadhani hakuwa naimani na jaji mwanzoni lakini hukumu aliyoisoma ilimgusa sana moyoni ilionyesha jaji hakuwa alivyomfikiria. Hivyo alishindwa kuzuia machozi.
 
[h=2]Makosa makubwa kutengua matokeo ya Ubunge kwa ushahidi wa kusikia-Jaji Moses[/h] Jaji Moses Mzuna aliyetupilia mbali kesi dhidi ya mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu amesema ni makosa makubwa kwa mahakama kutengua matokeo ya uchaguzi kwa ushahidi wa kusikia.Jaji huyo amesema ili kutengua matokeo ni lazima kuwe na ushahidi ulio wazi tena wa vielelezo visivyotia shaka.Jaji huyo ameendelea kusema ni kosa kubwa kumuondoa kiongozi wa wananchi kwa ushahidi wa hovyo hovyo.
Jaji huyo pia amesema wanaofungua kesi za uchaguzi wanapaswa kujua kesi za kupinga matokeo si za mchezo mchezo.Amesema kwa njia hii ndipo mahakama zetu zitakapoheshimika.
 
Jaji huyo pia amesema wanaofungua kesi za uchaguzi wanapaswa kujua kesi za kupinga matokeo si za mchezo mchezo.Amesema kwa njia hii ndipo mahakama zetu zitakapoheshimika.Posted byBush
 
Makosa makubwa kutengua matokeo ya Ubunge kwa ushahidi wa kusikia-Jaji Moses

Jaji Moses Mzuna aliyetupilia mbali kesi dhidi ya mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu amesema ni makosa makubwa kwa mahakama kutengua matokeo ya uchaguzi kwa ushahidi wa kusikia.Jaji huyo amesema ili kutengua matokeo ni lazima kuwe na ushahidi ulio wazi tena wa vielelezo visivyotia shaka.Jaji huyo ameendelea kusema ni kosa kubwa kumuondoa kiongozi wa wananchi kwa ushahidi wa hovyo hovyo.
Jaji huyo pia amesema wanaofungua kesi za uchaguzi wanapaswa kujua kesi za kupinga matokeo si za mchezo mchezo.Amesema kwa njia hii ndipo mahakama zetu zitakapoheshimika.
 
IDIOCY @work!
Hongera sana Tundu Lissu kwa kushida kesi yako nadhani Jaji kafanya kazi yake vyema kama alivyofanya Jaji kule Arusha kwenye kesi ya Lema.

Kulia kwa Tundu Lissu ukweli wa kilio chake anaujua mwenyewe ingawa kila mtu anasema lake.

Inawezekana Tundu Lissu analia kwa uchungu huku akisikitika kuwa watu walitaka kumkwamisha kuendelea kuchukuwa posho zake huku hakisubiri kiinua mgongo chake cha zaidi ya milioni 45.

Pole sana Tundu Lissu machozi ya mtu mzima unaweza kupigia deki na machozi ya mtu mzima ni dawa.
 
Wanajamvi huyo jamaa hapo nyuma ya lisu mwenye kola nyeupe ni kaka yake wa kuzaliwa lisu anaitwa alute mughwai ndiye aliyekua wakili upande wa magamba kwenye kesi ya lema arusha mjini....

Ndio maana Lissu analiaa!!
 
Last edited by a moderator:
Tundu Lissu angelifaa sana kuwa Rubani wa ndege ya Rais wa USA au ndege ya Abiria kama Boeng 747 kama siyo Airbus A380 yenye abiria kama 800 na kitu humo ndani.

Rubani au jemadari imara ni utamfahamu katika hali kama hii iliyopo hapo juu.

Wakati mambo yanachemka na Watanzania wengi wakiwa wameshika roho juu hadi tarehe 27/04 asubuhi, yeye aliendelea kuwa imara sana ndani ya mahakamana na wala hakutetereka. Wakati watu wengi wakiwa wameishiwa pumzi kwa kutokufahamu hukumu ya hili swala na mashambulizi yote yaliyofanyika na uongo wa kupika (tunakumbuka mara kibao mashahidi walikataa kuja mahakamani au kuchelewa) yeye aliendelea kurusha Scud kushoto na kulia.

Tundu Lissu aliendelea kujitetea mwenyewe huku akizuia mashambulizi kila kona hadi tukaona jinsi mashahidi wenyewe wanavyoanza kusema wazi kabisa "Tundu Lissu hakuhusika" au "Si rahisi kusema nani alihusika".

Mara nyingi marubani hao, huwa wakifika nyumbani na kuangalia jinsi alivyookoa watu na idadi ya watu wenyewe ilivyo, hapo ndipo hua wanaanza kulia. Siwezi kusema ni kilio cha furaha peke yake, hapana hata siku moja. Nafikiri inaweza kuwa kilio cha furaha na hasira. Unajua kama wewe uligombea safi kabisa na hukujihusisha na kashfa yeyote na umeshashinda na jitu linakuja kudai ulidanganya wakati si hulka yako, inauma sana.
Kuna baadhi ya mambo tayari yanakuwa yameshakuharibia CV yako maishani. Ni sawa na wee Mwanaume, anakuja jamaa na kukupandisha mahakamani kwa kudai unatembea na mkewe wake au umemuharibia binti yake mdogo. Hii itakuwa na wewe milele maana hata kama utashinda, bado watu wataamini kuwa wewe ni Kibaka tu kama siyo Fataki.

Mkuu umemaliza! Inawezekana aliwaza, kama yeye anaweza fanyiwa ushenzi huo je mtu wa kawaida asiyejua sheria si ni zaidi?
 
Ni kawaida ya binadamu kuwa na machozi ya furaha!!!!

Magamba bwana! Umesahau kuwa JK wakati wa kampeni aliwaambina wanasingida kuwa "Ni bora dr, slaa awe Rais kuliko Tundu Lissu awe Mbunge". Analia akikumbuka hayo pia! Aliyefuatilia kesi anajua jinsi Chiligati alivyokuwa anashikiriana na Mrema mchana na usiku ili wamwindoe Lissu kwa mashahidi Fake ambao wanakuja hawajui wamefika kutestify nini?
 
Back
Top Bottom