PICHA: Kwanini Tundu Lissu amelia baada ya kushinda kesi??

Tofauti ni kwamba machozi ya Lisu yanatokana na emotion km wanajukwaa walivyoeleza, na ni kawaida watu wengi kulia anapopata ushindi. Machozi ya Pinda alikuwa analilia uwaziri mkuu, kama angekuwa na na uchungu kwa mauaji ya albino angelia siku aliposema wauaji wa albino wanyongwe

Huwezi kuwa seriouz; natambua unakijua kiujazacho moyo wako ila ni ushabiki tu wa kisiasa ndo umeupa kipao mbele" Tofauti na hapo ntakua sijakosea nikisema kuwa nawe wayafagilia mauaji ya Albino!!
 
TL kalia kwa jinsi pesa za watz zinavyotumika kuendesha kesi zisizo na maana au ukweli wowote. Wanatakiwa wamlipe TL kwa kumsingizia mambo ya uongo na pia kumpotezea muda wake.
 
Kikubwa ni kumshukuru Mungu mkuu wetu kesi yake kuisha maana hizi mahakama zinaingiliwa kabisa na serikali kwa hyo hata utendaji wa hawa watalaamu wa mahakama hauaminiki,hongera kwako Mh Lissu
 
Haki inapotendeka katika mazingira magumu ni lazima moyo uguswe, na hapo ndo machozi hutoka.
 
thread ya Dr.Slaa humu jamvini (JF) baada ya kuhitimisha ratiba ya campain 0ctober 2010 iliniliza sio siri,
 
LISSU1.jpg

Mbunge wa jimbo la Singida mashariki CHADEMA),Tundu Lissu,muda mfupi baada ya mahakama kuu kutupilia mbali maombi yaliyotolewa na Shaban Selema na Pascal Halu wa CCM,kupinga matokeo yaliyompa ushindi wa ubunge.

LISSU.jpg

Tundu Lissu akifutwa machozi wakati wakitoka nje ya mahakama baada ya mahakama kuu kutangaza kuwa ushindi wake huo, ni halali.(PICHA NA Dewjiblog)

Ndugu,wakati wa kesi Tundu Lissu alikuwa thabiti na mwenye kujiamini, sasa baada ya kushinda kesi ndiyo anaonekana kulia.

Nini maana ya kulia huku kwa Tundu Lissu?

Kwa hisani ya Mjengwablog.

Ubunge mtamu wandugu.
 
honger sana jembe letu Lissu. najua hulii kinafki bali unawaza kama wewe unayejua sheria na masomi tena mwenye fedha umekutana na hayo, je vipi kwa hao ambao nhawaijui sheria na si wasomi kama wewwe na hela hawana? yawezekana wanaopoteza haki yao kwa kukosa sifa hizo ni wengi hivyo yakupasa ulie sana kwa ajili yao.
 
Tundu lisu is very emotional and sentimental hata bungeni we mwangalie..
So ni rahisi kwake kuburst into tears when he is overjoyed,angered etc..na kesi ilikua within discretion ya judge..sie tunajua kuwa kunasheria lakn mwisho wa siku ni suala lajudge kuamua upande aloona umemridhisha..what happens kama jaji ana itikadi zisizoonekana za chama?Ama kwa vyovyote vile angeamua tofauti?
This was in disbelief-hasa ukizingatia yalomkuta lema.

exactly mkuu alafu ukitegemea wamemumchukualia muda wake mwingi ambao angeleta maendeleo kwenye jimbo lake.Na pia alijua dola ni dola tu akajua lolote laeza tokea ...............
 
Magamba wangeweza fanya lolote, ila wameisoma M4C, na matokeo ya maamuzi ya kesi ya The Great LEMA at Arusha, leo ni wangapi wamehama na wanaendelea kukihama ccm. Wananchi tunao uwezo wa kupima na kutoa maamuzi fear zaidi ya mahakama. Mungu yu upande wetu.
 
LISSU1.jpg

Mbunge wa jimbo la Singida mashariki CHADEMA),Tundu Lissu,muda mfupi baada ya mahakama kuu kutupilia mbali maombi yaliyotolewa na Shaban Selema na Pascal Halu wa CCM,kupinga matokeo yaliyompa ushindi wa ubunge.

LISSU.jpg

Tundu Lissu akifutwa machozi wakati wakitoka nje ya mahakama baada ya mahakama kuu kutangaza kuwa ushindi wake huo, ni halali.(PICHA NA Dewjiblog)

Ndugu,wakati wa kesi Tundu Lissu alikuwa thabiti na mwenye kujiamini, sasa baada ya kushinda kesi ndiyo anaonekana kulia.

Nini maana ya kulia huku kwa Tundu Lissu?

Kwa hisani ya Mjengwablog.

Duh!! Huyo mdada mwenye Gwanda Pua na Lips zake zime ni Duuu... CDM wa MA QUEEN BOOOOOMBAH!
 
Back
Top Bottom