Picha: Korea Kusini ni nchi inayoongoza kwa watu wanaofanya upasuaji wa kubadili mwili(plastic surgery)

Kwahiyo hapo ni body la nje ndio linabadiliswa,ila huko ndani maini n.k.yanakuwa yameshazeeka balaa.Wanawake tuoneeni huruma jamani na Mungu atusamehe kwa kweli...
 
Back
Top Bottom