Picha: Korea Kusini ni nchi inayoongoza kwa watu wanaofanya upasuaji wa kubadili mwili(plastic surgery)


pleo

pleo

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2013
Messages
2,714
Likes
901
Points
280
pleo

pleo

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2013
2,714 901 280
View attachment 970713

Korea kusini, ndio nchi inayo ongoza Duniani kwa Raia wake kufanya plastic surgery(matengenezo ya mwili), ili kuleta muonekano mzuri kwao. hii picha imekuwa gumzo sana mitandaoni, kutokana na wanawake hawa kufanya matengenezo ya mwili ili kuwa na muonekano mzuri Unaambiwa katika hii picha uyo wa katikati, ni mama wa hao wa wili wa pembeni na ana miaka 63..Huyo wa pembeni kulia ni mtoto wake anaitwa Lure Hsu, mwenye miaka 41, na huyo wa pembeni kushoto ni mtoto wake pia, anaitwa Sharon, mwenye miaka 36 MWISHO
Huku mwanerumango hao wote tunawaita vigoli, kama haina mapezi yanayoyoning`inia umri ni namba tu.
 
Kajolijo

Kajolijo

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Messages
3,274
Likes
4,255
Points
280
Kajolijo

Kajolijo

JF-Expert Member
Joined May 30, 2016
3,274 4,255 280
Hiyo huduma ikija bongo sasa sipati picha wamama watu wazima watakavoishangilia
 
pansophy

pansophy

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Messages
422
Likes
152
Points
60
pansophy

pansophy

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2011
422 152 60
Shida viungo vya uzazi vitakuwa hoi
 

Forum statistics

Threads 1,261,334
Members 485,118
Posts 30,086,776