Picha: Kipanya "ahofia" kukutwa na yanayomkuta CEO wa JamiiForums

b020cd89c71e3f3a54643079c79b1d46.jpg


Na hii nayo he vipi kosa moja maamuzi tofauti
 
Sometimes nafikiria labda huyu mtu ni blessings in disguise
labda atafanya watu wachoke na kuchukia kupita kiasi
ikija uchaguzi...hata kampeni isiwe na umuhimu....ni kuwatoa tu kwa wingi..
Na watu wakiambiwa katiba wataelewa
 
Masoud yuko makini sana na Sheria ya Mwaka 1976 ya Magazeti wala haogopi kukamatwa kwani anafuata sana sheria na kanuni za Fani yake.

Kuhusu Gado ile cartoon yake ilivuka mipaka na kaiku sound vizuri kwa Mkuu wa Nchi wa wakati ule na hasa ilikuwa ya udhalilishaji ( personal abuse )

Na hayo ndiyo Serikali kila siku inapiga kelele wanafani kufuata sheria,kanuni na taratibu ili kuepuka mkono wa Dola.
 
Sometimes nafikiria labda huyu mtu ni blessings in disguise
labda atafanya watu wachoke na kuchukia kupita kiasi
ikija uchaguzi...hata kampeni isiwe na umuhimu....ni kuwatoa tu kwa wingi..
I also think so manake anamaudhi mpaka unajiuliza kulikuwa kweli na vetting mpaka tukaishia kuwa a na kiongozi kama huyu populist
 
Habari za private life ya rais lazima zinaleak tu, Nyerere mwenyewe zililiki za Bhoke Mnaka kuingilia familia mpaka ikapelekea secretary mama wa kizungu kutaka kuolewa,blakini zilipotezewa na wakati ule hakukuwa na mass media kama ya leo.
 
Back
Top Bottom