Dunia iko kasi kweli. Sam Altman ambaye ni CEO wa open AI kafunga ndoa na mpenzi wake ambaye ni dume mwenzake. Sam ambaye katika mahojiano fulani alisema wazo la Chagpt alilipata akiwa kwenye msongo wa mawazo wa kuachwa na boyfriend wake wa awali ambaye alidhani atamuoa.
Haya mambo haya baada ya miaka 30 wanaume watakuwa wa kutafuta kwa torch
Haya mambo haya baada ya miaka 30 wanaume watakuwa wa kutafuta kwa torch